BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 594
- 1,827
Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi)
-Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera
-Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu
Katika uislamu elimu maana yake ni
-Ujuzi unaoambatana na utendaji au
-Mabadiliko ya tabia yanayoambatana (yanayotokana) na ujuzi au
-Ujuzi unaomuwezesha mtu kufanya (kutenda) jambo kwa ufanisi au inavyotakikana.
Sifa za mtu aliyeelimika
-Aliyelemika ni yule mwenye ujuzi unaomwezesha kutenda (kufanya) jambo kwa ufanisi na inavyotakikana.
-Mjuzi wa Qur'an na Sunnah ni yule anayeendesha kila kipengele cha maisha yake ya binafsi na kijamii kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah
-Watapofanana kimwenendo na kitabia wale wenye elimu na wasiokuwa na elimu, basi wenye elimu watakua hawajaelimika ila wamesoma tu.
Nafasi ya Elimu na mwenye elimu katika uislamu inaonekana maeneo yafuatayo
-Elimu ndio takrima ya kwanza aliyopewa mwanadamu na Mola wake kama nyenzo pekee itakayomwezesha kumjua Mola wake na kumuabudu vilivyo.
-Elimu ni amri ya kwanza kwa Mwanaadamu kuitafuta popote pale ilipo. Hata Mtume (s.a.w) alipewa amri ya kwanza ni kusoma.
Kwanini Elimu imepewa nafasi ya kwanza katika uislamu?
-Ndio nyenzo pekee inayomwezesha mwanaadamu kumtambua Mola wake na kuweza kumwabudu ipasavyo.
-Elimu iliyosomwa kwa Mrengo wa Qur'an na Sunnah ndiyo inayomwezesha muumini kua khalifah (Kiongozi)
-Kutafuta Elimu ni ibada maalumu yenye hadhi kubwa kuliko ibada zote mbele ya MUNGU
-Mwenye Elimu ndiye ana nafasi bora ya kumtambua na kumuabudu Mola wake ipasavyo kwa kila kipengele cha maisha yake.
Nini chanzo cha Elimu?
Chanzo cha Elimu na fani zote ni Mwenyezi MUNGU ambaye humwelimisha mwanadamu kupitia njia mbalimbali.
Mgawanyo sahihi wa Elimu katika uislamu
(a)Elimua ya Mwongozo:
Hii ni Elimu ya lazima ambayo kila mtu anapaswa kuisoma, haina uwakilishi: Mfano ibada za swala, funga, hita, zakat n.k
(b)Elimu ya mazingira:
Hii ni Elimu ya uwakilishi ambayo wakisoma wachache katika jamii inatosheleza lakini wasipopatikana wa kuwakilisha, jamii yote itawajibika: Mfano ni Udaktari, Uinjinia, Ualimu, Urubani n.k.
MAOMBI YETU KWA WATUNGA TAHASUSI
-Mgeongeza na masomo ya sheria za kiislamu ikiwemo FIQIHI, HADITHI (HISTORIA) NA ISLAMIC PHYLOSOPHY yawepo kama vipengele maalumu katika Tahasusi za Advnace, mfano:
'Fiqihi, Geography & English (FGE)
'Physics, Qur'an & Biology (PQB)
'History, Balagha, English (HBE)
'Economic, Sirah & Mathematics (ESM)