mabomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kupiga boti zinazotega mabomu huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika Mlango-bahari wa Hormuz

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameliamuru Jeshi la Majini "kupiga na kuua" boti zozote za Iran zinazotega mabomu katika Mlango-bahari wa Hormuz. Mazungumzaji mkuu wa Iran amesema kuwa Tehran imepokea mapato yake ya kwanza kutokana na ushuru ilioweka kwa meli zinazopita katika mlango-bahari...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yarindima kuwatawanya mashabiki Uwanja wa CCM Kirumba baada ya mchezo kuisha 1-1

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Baada ya mchezo kumalizika...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  6. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Nimelia jinsi Iran inavyopigwa mabomu

    Nimelia kuona Teheran ikipigwa mabomu kila mahali,natamani watawala wajisalimishe wananchi wapate nafuu
  7. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mmarekani aliyekamatwa na mabomu mpakani Sirari igizo hilo limeishia wapi?

    Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa. Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana nalo. Mnatuletea picha za mtu kavaa kaunda suti zake unifomu ya uhudumu wa ofisi eti ni Comando wa US...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  9. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mabomu ya machozi yapigwa wakati Bobi Wine akifanya kampeni Uganda

    Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kisa cha askari feki aliyekamatwa na mabomu feki kimeishia wapi?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Changa la macho la kukamatwa askari wa Marekani kimeishia wapi au maji yamezidi unga?
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Wamekuja Gen Z Wametikisa misingi, Risasi haiwapunguzi, inawaongeza Mabomu ni mbolea yao Wanahitaji kusikilizwa siyo kuhutubiwa

    Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. WAZEE HUKUMBUKA NA KUTAFAKARI 1. Lilikuja Azimio la Arusha: Yaliyofichwa Yakafukuliwa. Tukawa ndugu bila kuwa sawa lakini tukawa wamoja. Maskini akamtunishia msuli kiongozi na akabaki salama. Maskini wakafa na tai shingoni lakini hawatekwi. 2...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani kuchunguza suala la raia wake kudaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania

    Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania. je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo ================= Marekani imesema...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

    Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi. Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana. Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Niwakumbushe mabomu ya machozi hayafanyi kazi kwenye mvua

    Ndugu wa Tanzania jiandaeni na Maandamano, ikitokea mvua mjue ni baraka.
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Panya kugundua mabomu Cambodia

    Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya TNT kemikali inayotumika kwenye mabomu mengi na mabaki ya vilipuzi. Mara wanaponusa, huashiria kwa...
  19. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?

    Wakuu habari zenu, Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake. Leo nimeona...
Back
Top Bottom