uislamu

  1. N

    Tetesi: kila mtu anataka kumkaribisha kutoka ALLAH kwa swalah lakini swalah hii ina nguzo

    Nguzo za Swala Ni sehemu zake za kimsingi ambazo Swala inatokana nazo, kwa namna isiyofaa kuziacha kwa hali yoyote ile. Hazipomoki kwa kukusudia wala kwa kusahau isipokuwa katika hali ya kutoweza. 1. Kutia nia 2. Kusimama katika swala ya faradhi pamoja na kuweza 3. Takbiri ya kufungia Swala...
  2. N

    Tetesi: 🌺kila mtu anatamani kukamilisha swala yake na kuna njia nyingi kufanya haya kama sunna kusoma qur an au kuomba baada ya swala.😍

    Miongoni mwa dua baada ya Swalah - ASTAGHFIRU LLAH (Namuomba Mwenyezi Mungu msamaha) (mara tatu), ALLAHUMMA ANTASSALAAM WAMINKA SSALAAM TABAARAKTA YAA DHAL’JALAALI WAL’IKRAAM (Ewe Mola! Wewe ni Amani, na amani inatoka kwako, Umetukuka, ewe Mwenye utisho na utukufu) [ Imepokewa na Muslim.]...