• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

original

 1. pabro11

  Wapi nitapata mafuta ya nywele ya Cantu original?

  Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu? Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
 2. Xavier F

  Riwaya: Mabastania

  WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU. ____________ 1 Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu meusi ya masika yalitanda, mvua ilitishia kunyesha...na matope kwenye njia nyororo iliyopita kati ya...
 3. K

  NEW ORIGINAL WIRELESS EARPHONE CALL/ SMS 0752886244 TSH35,000/=

  i11 Tws (true wireless stereo) hizi earphones unaweza kuziunganisha na simu au computer kwa njia ya bluetooth, hazichagui simu iwe android au ios, ni mpya kabisa yaani fullbox nakuletea ikiwa na usb na power bank yake kwa Tsh 35,000 , ni touch control ni mini sound bass la uhakika unachaji lisaa...
 4. C

  Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

  Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
 5. kamikaze

  Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

  Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
Top