kujikinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAKIIF Islamic

    Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
  2. C

    Acha kujirekodi video za utupu, zikivuja msambazaji wa kwanza ni wewe!

    Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa hawana muda wa kufikiria hasara utakayopata maana umeamua mwenyewe udhalilike, unless umerekodiwa...
  3. TODAYS

    Jinsi ya kujikinga na "connection", fuata na njia hizi

    Kwanza ikimbie zinaa kama hujaoa acha, kama umeoa tulia naye na kama huna jifunze useja. Twende kazi: a) Chukua simu zote ziweke kwenye begi 😃! b) Kama upo lodge muombe muhudumu akupe fagio hakikisha chumba kisafi, yaani hakikisha hamna takataka inayoweza kuhisiwa kurekodi humo 😃! c)...
  4. T

    Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Chukua tahadhari kujikinga na magonjwa ya mlipuko

    📍Dar es salaam ◾ 17/01/2024 Habari wana-Dar es salaam. Tunamshukuru mungu kwa kutuamsha salaama siku ya leo. Wagonjwa na wanaopitia changamoto mbalimbali mungu awafanyie wepesi waweze kukabiliana nazo na kuwaponya. ➡️ Naomba tuendelee kuchukua Tahadhara katika mkoa wetu wa Dar es salaam na...
  6. R

    Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani: Una ufahamu wowote juu ya ugonjwa huu na jinsi ya kujikinga?

    Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga. Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya Homa ya Ini yam waka 2021 zinaonesha kuwa, mwaka...
  7. isaya febu

    Yajue Maambukizi ya Homa ya Ini na Jinsi ya Kujikinga

    Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu. Kutokana na sababu mbalimbali kama vile matumizi ya pombe kupita kiasi, sumu kwenye damu au maambukizi; ini hupata shida na kuvimba na kushindwa kufanya kazi...
  8. Nyendo

    Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  9. Sildenafil Citrate

    Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  10. Mamujay

    Hizi hapa njia nyepesi za kujikinga na wachawi

    Habari Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa Ila kwa kuanzia hizi hapa 1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira ) 2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi) 3. Chumvi ya mawe Kubwa...
  11. Lycaon pictus

    Watu wa Mbeya, badala ya kujichubua na kuwa kama vishetani, kwa nini msitumie mafuta ya kujikinga na jua?

    Tz hii sidhani kama kuna mkoa unaongoza kwa watu kujichubua kama Mbeya. Ukikuta mwanamke aliyejichubua kikweli anatisha. Sura inakuwa kama kokaragosi au kashetani hivi. Lakini si wakulaumu. Habari ya kujichubua ipo duniani pote. Wazungu walifanikiwa kuteka akili za watu kuwa weupe ndiyo urembo...
  12. L

    Buibui atengenza wavu kama mwavuli wa kujikinga na mvua

    Buibui alitengeneza wavu kama mwavuli wa kujikinga na mvua iliyonyesha kwa mfululizo huko Qionghai, mkoani Hainan, China.
  13. Targaryen Golden

    SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
  14. Sildenafil Citrate

    Namna unavyoweza kujikinga na maambukizi ya VVU baada ya kupitia mazingira hatarishi

    Post-Exposure Prophylaxis au PEP ni njia inayotumika kumkinga mtu ili asipatwe na maambukizi mapya ya VVU baada ya kupitia mazingira hatarishi yanayoweza kumfanya aambukizwe. Ni njia inayohusisha matumizi ya wiki nne ya dawa za kutibu VVU kama kinga ya dharura kwenye kuzuia kutokea kwa...
  15. L

    Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

    Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk. Hali...
  16. Joshua Deus

    SoC02 Ujue ugonjwa wa Mgunda na jinsi ya kujikinga

    Tanzania ilikumbwa na hofu ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa ulionekana kuwa mpya ambao, wengi hawakuwahi kuuona Wala kuusikia hali iliyopelekea maneno ya hofu wengine wakisema Sasa ni mwisho wa ulimwengu wa Sayari hii ya dunia, kwa mujibu wa mafundisho ya kidini, Hasa yakielezea dalili za...
  17. Yofav

    INAUZWA Unahitaji net kwaajili ya kujikinga mbu? Pitia uzi huu

    1. Two Stands rail net Hii ni net👆 nzuri sana na classic sana, Kimuonekano ni kama inavyoonekana hapo juu, Zipo katika rangi 4 (Pink, Purple, Cream & White) Gharama yake ni sh.150,000 2. Two stand adjustable net Kimuonekana imefanana na ya reli lakini ni tofauti, hii vyuma vyake unafanya...
  18. Yofav

    INAUZWA Unahitaji net kwaajili ya kujikinga mbu? Pitia uzi huu...

    1. Two Stands rail net Hii ni net👆 nzuri sana na classic sana, Kimuonekano ni kama inavyoonekana hapo juu, Zipo katika rangi 4 (Pink, Purple, Cream & White) 2. Two stand adjustable net Kimuonekana imefanana na ya reli lakini ni tofauti, hii vyuma vyake unafanya kuvivuta au kuvisukuma...
  19. Bushmamy

    Arusha: Wanakijiji Arumeru walazimika kuvaa Ndoo na Helmets vichwani kujikinga na Mawe ya ajabu yanayorushwa hewani

    Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap. Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
  20. BigTall

    Jamii imetakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko

    Jamii imetakiwa kujikinga magonjwa ya mlipuko ikiwepo kufuata miongozo na elimu inayotolewa kwa umma katika kuongeza uelewa na kujenga utayari wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa Aprili 15, 2022 na Mratibu wa Elimu kwa Umma na Ushirikishaji Jamii wakati wa dharura Dkt. Tumaini...
Back
Top Bottom