makombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Makombora ya balistiki ya Iran yakatiza juu ya anga la Israel Kusini yakielekea Jordan

    Israel imewatahadharisha wananchi wake waishio kusini, juu ya hatari ya makombora kadhaa ya balistiki yaliyokatisha angani kuelekea jiji la Aqaba, nchini Jordan Ving'ora vya kuashiria hatari vililia miji kadhaa ya kusini mwa Israel ikiwemo Eliat, na wananchi wote kuamrishwa waingie kwenye...
  2. dronedrake

    JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kufanya mashambulizi ya pamoja kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (drones) dhidi ya rada ya mfumo wa ulinzi wa C-RAM katika Kambi ya Ali Al Salem nchini Kuwait, pamoja na eneo lililodaiwa kuwa mahali pa mkusanyiko wa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maelezo kwa undani jinsi mifumo ya Marekani ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu inavyofanya kazi

    Marekani hutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (layered missile defense system). Mfumo huu haufanyi kazi kwa kutegemea kifaa kimoja tu, bali ni mtandao wa satelaiti, rada, kompyuta, na makombora ya kujihami unaofanya kazi kwa pamoja. Hatua zake kuu ni hizi: Ugunduzi wa mapema (Early Warning)...
  5. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Muda Huu Wanashambulia Iran Kwa Makombora Mazito Mazito. Viongozi wa Iran kama Kawaida Yao Watatoa Mkwara Mzito Kuwaridhisha Wafuasi wao

    Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran. Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣 Kesho wale viongozi wa Iran watalazimishwa Tena kufanya negotiation la sivyo watashambuliwa Tena Viongozi wa Iran kama...
  6. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump. Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic kwa sababu kuna nchi nyingine pia Wanazo

    Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe. Ameeleza kuwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

    Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini ========== US military says it struck southern Iran in 'self-defence' The US military said it...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania United Arab Emirates imesema kuwa inaendelea kukamata makombora na ndege zisizo na rubani kutoka Iran

    United Arab Emirates imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikabiliana na makombora 12 ya balistiki, makombora 3 ya cruise na ndege 4 zisizo na rubani zilizorushwa kutoka Iran siku ya Jumatatu. Mashambulizi hayo yalisababisha watu watatu kupata majeraha ya wastani, kwa mujibu wa Wizara ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Iran YAISHAMBULIA kwa makombora Umoja wa Falme za Kiarabu muda huu

    Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE. The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were intercepted and one fell into the sea.
  10. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Brigedia Mohammad Naghdi amesema Vita ikirejea tutawapiga kwa makombora mapya, yaliyotengenezwa mwezi huu?

    Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema: “Marekani haina cha kutupangia. Tunazalisha makombora kila siku, na yapo mengi bila kupumzika. Ikiwa vita itarejea safari hii, tutahakikisha...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kim Jong Un kufyatua makombora leo, Rais wa Korea Kusini aliiomba radhi Korea Kaskazini. Ina maana Kim hajapokea huo msamaha?

    Wakuu, Kabla ya Korea Kaskazini kufyatua makombora leo, siku kadhaa nyumba Lee aliwaomba msamaha kwa kupandisha drone kwenye angal la Korea Kaskazini. Inavyoonekana Kim anataka sana ugomvi utokee maana kama uliombwa msamaha tena na Rais unatest makombora ya nini sasa? ======= Rais wa Korea...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Iran Imepata Makombora ya Nuclear

    https://youtu.be/BOQwrEfjUR4?si=umaARmt1J63N6ZWo
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati (IRBMs) yakilenga kituo cha U.S.-UK huko Diego Garcia (~4,000 km

    Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal. Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya balistiki ya Iran inayojulikana. Mzee Ali Khamenei. Aliuliwa yeye ndiyo alikuwa hataki vijana wake...
  14. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa IRGC: Uzalishaji wa makombora unaendelea hata wakati wa vita

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na hakuna tatizo maalumu katika suala la hifadhi ya makombora yetu." Brigedia Jenerali Ali...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa Iran kurusha makombora Uarabuni yatakua yanajirudia yale ya Gidioni kwenye Bilblia

    Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya wapiganaji 300 walishtukiza na kupiga tarumbeta usiku, hao Wamidiani wakachanganyikiwa na kuanza kuchinjana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania IRAQ: Ubalozi wa Marekani jijini Baghdad washambuliwa kwa Makombora

    Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umepigwa katika shambulio la makombora, vyanzo vya usalama vya Iraq vimeiambia shirika la habari la Reuters leo Jumamosi. Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, shambulio hilo limesababisha moshi kuonekana ukipanda kutoka katika jengo la Ubalozi huo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ukraine yashambulia Kiwanda muhimu cha Vifaa vya makombora Nchini Urusi

    Vikosi vya Ukraine vimeshambulia kimoja kati ya "viwanda muhimu zaidi vya kijeshi" vya Urusi, kulingana na kauli ya Rais Volodymyr Zelensky. Jeshi la Ukraine lilisema kuwa makombora ya masafa marefu ya Uingereza aina ya Storm Shadow yalitumika kukishambulia kiwanda cha Kremniy El...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

    Wanaukumbi. Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂 https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani ukweli ni huu

    Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora...
Back
Top Bottom