jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
 1. A

  Ipi ili kuwa habari ya kweli juu ya jamaa hawa wawili, nchini kenya !!.

  nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. ghafla Waka pewa cheo Cha u askari, Mara tafrija zisizo eleweka. skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye Yumo. mpinzani aka dai mamluki wame fika. je nani aweza sema kitu juu ya lipi lilikuwa lengo lao...
 2. ndege JOHN

  Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

  Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
 3. B

  Hivi Harry Mwijage anafanya biashara gani?

  Habari zenu. Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine Kwa anayemjua atusaidie huyu jamaa yeye Anafanya biashara gani au na yeye anahamasisha tu watu wapambanie Kombe.
 4. A

  DOKEZO Huku Arumeru kuna jamaa wanavamia mabweni ya Wasichana (Shule ya Sekondari ya Nshupu) na kufanya uhalifu

  Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
 5. A

  Nilikua namuunga mkono Makonda. Kwa kumdhalilisha mke wa jamaa yangu jana sasa najitoa rasmi, aendelee na kiburi chake na hatokuja kuwa rais wa nchi

  Wakuu, Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3. Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida. Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake. Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya? Sasa...
 6. GENTAMYCINE

  Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

  Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
 7. LIKUD

  Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

  Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes . Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
 8. Kiboko ya Jiwe

  Jamaa kajilipua kwenda kutoa wenge Serena Hotel, sasa anaikumbuka pesa aliyoitumia anajilaumu

  Jamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini. Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa sh. 46000. Kapanda boda karudi kijiweni kwake na kuanza kujisifu. A few moment later akaanza kujutia...
 9. GENTAMYCINE

  Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

  Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au...
 10. Webabu

  Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

  Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
 11. BabaMorgan

  Huyu jamaa ni Genius

  Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
 12. Pdidy

  Yusuph Manji: Hans Poppe alinipa wakati Mgumu sana enzi za uongozi wangu

  “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana. “Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu...
 13. Mtu Kwao

  Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

  Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile.. Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
 14. Mjanja M1

  TrueStory: Jamaa kaoa, kapost picha, KAJUTA!

  Hii imetokea nchini Kenya. Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari. Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha akiwa faragha na mke wa jamaa wakiwa watupu. Taarifa zisizo rasmi ni kwamba jamaa amezua timbwili...
 15. kajamaa kadogo

  Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

  Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote. Sasa basi kuna msichana tulimaliza wote o-level miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namkubali sana ila alinipiga...
 16. Papaa Mobimba

  Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma. "Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili...
Back
Top Bottom