Busara was a literary journal published quarterly by the East African Publishing House, and later biannually, by the English Department at the University of Nairobi. It was first published under that name in 1968, and became one of the most influential literary journals of its time in Kenya. Jared Angira became its editor in chief in 1969.Originally the journal was founded as Nexus, and four issues appeared in 1967 and 1968, but it was renamed in 1968: "Busara" means "wisdom" in Kiswahili. Awori wa Kataka and Richard Gacheche were its first editors under that name; the choice for a Kiswahili name was influenced by other publications doing the same thing at a time when there was broad discussion in newly-independent Kenya about a national language.Notable contributors and editorial staff included Taban lo Liyong, Grace Ogot, Adrian Roscoe, Angus Calder, and Ngũgĩ wa Thiong'o, Jared Angira, and Chris Wanjala.
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.
Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela?
Jela kama sehemu ya kurekebisha Tabia, Huyu si alipaswa kuchapwa Viboko 24 , Jela Miezi SITA -MWAKA...
Mtu anawezaje kutumia Busara zake nje ya Mfumo wa kimahakama kuamua au kutoa maamuzi juu ya Kesi ya Ugaidi inayomkabili mtu ?
Nauliza anawezaje yaani ?
Sisi wana HAI tunataka kesi irudi Mahakamani na iamuliwe kwa misingi ya utawala wa sheria na haki.
Alamsikh.
PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria.
Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
Aloyce Nyanda unaweka mjadala mahali pasipo sahihi. Swali halipaswi kuwa: “CHADEMA ibadili msimamo gani ili Lissu aache kuteseka?” Swali sahihi ni: “Kwa nini Serikali inamtesa Lissu kwa sababu ya msimamo wa kisiasa?”
Kumhurumia Lissu ni jambo la kibinadamu, lakini kuitumia huruma hiyo...
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.
Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.
Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara...
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili
Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
Nafikiri nitaeleweka kirahisi.
Tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki,
Waki Commission (Tume ya Waki) iliundwa kwa tangazo la Gazette Notice ya Rais Mwai Kibaki,
Terms of reference (ToR) zake zilitangazwa katika Kenya Gazette...
Ushawahi kuona mtoto mdogo wa miaka mitano, lakini akiongea, pointi anazotoa ni za mtu mzima wa miaka 60? wakati hata shule hajaanza?
Hawa ndio wale watu wanasema roho zao zilishawahi kuishi duniani zamani, zikafa, zikarudi tena kwenye miili ya watoto.
Wanapenda kukaa na watu wazima kuliko...
Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like.
Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma.
Akizungumza Juni 1...
Mzee Mahita ameongea mambo mengi kiasi kwamba jamii haiamini anachosema.
Mfano rais mstaafu kutumia vibaya madaraka kwa sababu katiba tuliyinayo ni mbovu na kumteua Said Mwema kuwa Igp kisa tu ameoa kwao. Na keleza namna vyombo vingine vya usalama vinakamata watu na kuwaweka kwenye sero za...
Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa.
Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'.
Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana.
Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la Africa unaona kabisa wanakosa hekima, unaona kabisa hotuba zao zimejaa kubomoa hata jumuia zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.