christmas

 1. Pascal Mayalla

  Je Wajua, Japo Christmas Ina Sheherekewa kwa Sharmashamra Sana, Pasaka Ndio Sikukuu Kuu ya Wakristu Kwasababu ya Fumbo la Paska. Happy Easter!.

  Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
 2. Wakili wa shetani

  Nikilima miti ya Christmas inaweza kunilipa?

  Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa?
 3. sky soldier

  Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

  Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
 4. sky soldier

  Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea Christmas

  Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria source >>...
 5. Erythrocyte

  Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

  Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
 6. Mhaya

  Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

  Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas. Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu...
 7. Adolph Jr

  Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

  Merry Christmas wakristo wote. Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka. Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for...
 8. B

  HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

  1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo: 2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni. 3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya. 4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end." 5. Ningali na scan kutafuta salamu...
 9. R

  Rais, Makamu na Waziri Mkuu wameshiriki misa ya Krismasi katika Manisa gani? Ni upi ujumbe wao kwa Watanzania?

  Nimependa kuona salam za Christmas's za viongozi wa Kitaifa. Ningependa kusikia kauli zao kuhusu upungufu wa maadili, kuongezeka mauaji, kero za huduma ikiwemo upungufu wa umeme. Lakini bado sijaweza kusikia salamu zao rasmi. Au awajashiriki misa ya Christmas's? Au watazungumza nasi jioni...
 10. Mlalamikaji daily

  Mitandao ina nguvu; hatimaye Azam TV wamekuwa waungwana kwenye Krismasi ya mwaka huu 2023

  Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini.. Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
 11. Tlaatlaah

  Nawaalika nyote kuzaliwa upya kisiasa, kijamii na kiuchumi Krismasi hii

  Wapendwa sana, wanafamilia wa JF. Salamu. Mara baada ya salamu, Nashukuru Mungu kwa niaba yako na yangu, kwa kibali cha maisha, zawadi ya uhai na afya anazotujaalia. Karibuni sana nyumbani kwangu mkiwiwa kwa biriani la Christmas. Wapendwa, Christmas hii tukazaliwe upya kiroho na kimwili na...
 12. The Burning Spear

  Wazee wa Legacy Heri ya Christmas na mwaka Mpya

  Hi Legacy people. Sisi bado tunaamini huyu mzee yupo chato anachunga ng'ombe anawatakia heri na baraka ya Noel na Mwaka Mpya Asanteni.
 13. Poppy Hatonn

  Tunapoanza mapumziko ya Christmas na Mwaka Mpya tujihadhari na laana

  Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin. Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe tu. Kwa sababu wapiga kura wao wanataka kuiona serikali yao inaleta ubabe. MPAKA JAMBO BAYA LIWAFIKE...
 14. BAKIIF Islamic

  Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

  Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari. Wakristo wa Orthodox kama vile wa nchini Ethiopia wao wanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 7...
 15. TTCC_TECNO

  EXCLUSIVE CHRISTMAS HOLIDAY OFFERS

  Guess what? This holiday season comes with some fantastic news! Now, you can grab the smartphones on credit without any interest and it's super easy! Companies like TECNO Tanzania are making it possible for you. These CAMON 20 phones are well-known for their awesome quality and top-notch camera...
 16. Kijakazi

  Christmas in Damascus, Syria once a Christian Countr na Umeme upo!

  kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia. leo hii Damascus...
 17. Mama Amon

  Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

  Yesu wa Nazareth WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo. Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi ya wanazuoni wa dini na historia kuanzia Mashariki ya Kati, Amerika, Ulaya, Afrika na bado hadi leo...
 18. Poppy Hatonn

  Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

  Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
 19. Tlaatlaah

  Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2024 in advance

  Mpendwa, Mary Christmas 🎄 and Happy New Year in advance. Tunapoelekea sikukuu muhimu za Christmas na Mwaka mpya 2024, nachukua fursa hii kukuombea Baraka na Neeema za Mwenyezi Mungu ziambatane nawe katika kila unachokifanya kujiandaa na sherehe hizi pendwa na muhimu, mathalani unajipanga...
Back
Top Bottom