Namna ya kuiongoza akili katika kufikiri

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
594
1,827
Akili yahitaji kuongozwa katika kufikiri baada ya kuboreshwa,
Itatumika wapi? na kwa maslahi ya nani? na kwakujenga lipi? akili ile itatumika.! na vipi mwanaadamu atajizoezesha kukabiliana katika miamala yake kwa vipimo vya akili..!

Qur'an imelaumu sehemu kadhaa wa kadha kuhusu fikra ya watu kufuata wazazi. Na utaona mara nyingi katika mijadala ya mitume na wafuasi wao, wakati walipokua wakipewa hoja za kiakili utetezi mkubwa waliokua wakijitetea nao wale wafuasi ni kwamba 'Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini tuliyonayo, basi na sisi tunaongoza nyayo zao.'
Qur'an imewakanya kwamba maswala ya 'sisi tuliwakuta baba zetu wakifanya hivi na vile...'
Katika kamusi ya mfumo wa kimalezi ya Qur'an jambo hilo halikubaliki kiakili. Qur'an imekataza kufuata wazazi (wazazi hapa sio baba na mama bali ni wazee waliopita, kwamba sisi tunafuata mila za wazee wetu)

Pili: Qur'an imeshambulia sana misingi ya kufikiri kwa kufuata wengi wamesema nini. Sio tu kufuata wazazi hata mas-ala ya kufuata wengi' Kwa lugha ya leo 'Wengi wape' yaani kwa lugha nyingine mas-ala ya muislamu kufikiri katika jamii kwa kufuata mwenendo wa 'Waves', mawimbi yanakwenda wapi, upepo unapiga wapi kisha wewe ndio unaenda hapo.

Qur'an imekataa mambo hayo na imewatukana watu wenye tabia hiyo, na imekuja kuonesha kwamba kipimo cha ukweli na usawa na haki na batili hakifuati kabisa wingi wa idadi. Qur'an imewashambulia watu hao kwa aya nyingi zimekuja mwishoni zikimaliza kutaja idadi ya watu wengi ('ولكن أكثرهم...) 'Lakini wengi wao hawana akili' , lakini wengi wao hawatambui' lakini wengi wao n.k

Kisha Qur'an ikamalizia kwa kuonesha uchache kati ya wengi (وقليل منهم) 'na wachache wao waliongoka,, na wachache wao walishukuru. n.k

Qur'an imekataa mantiki ya kufuata wengi kama kipimo cha usawa.

Tatu: Qur'an imeshambulia sana maswala ya 'dhana', mas-ala ya kufuata dhana. 'Nadhani', 'Nafikiri' 'Yawezekana'. Qur'an inasema dhana nyingi ni madhambi, kipimo cha Qur'an ni kwamba 'Haimaanishi kila dhana ni kosa' haimaanishi hivyo, bali imesema 'dhana nyingi ni makosa'. Ipo dhana moja au mbili zinaweza kuwa sahihi lakini ikiwa dhana nyingi zinatupeleka katika makosa hivyo basi haifai msingi na kipimo cha kufikiri katika jamii ya kiislamu kutumia msingi huo wa dhana.

Ikiwa hayo mambo matatu sio msingi mzuri wa kufikiri basi tufuate nini?

MUNGU anatueleza kwamba tufuate elimu, elimu hapa sio sayansi wala nini: Elimu (yaani hakikisha kila kitu mpaka ukifikishe 100%.

MUNGU anasema 'وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِۦ عِلْمٌ ۚ USIFUATE Yaani usichukue hatua, usijenge fikra kwa kitu ambacho kwamba huna ELIMU NACHO.

Mambo yakusema 'Nimesikia' sijui 'Mtu fulani amesema' sijui 'Ninadhani' sijui 'Inawezekana' haya sio mambo ya kujenga fikra katika jamii ya kiislamu.

USIFUATE wala kuchukua hatua kwa yale ambayo huna elimu nayo, hili ni katazo kama katazo lingine kama USIZINI, USIIBE, USISEME UONGO. Pia usifuate yale ambayo huna elimu nayo. Ukifanya hivyo jua unaingia katika madhambi. Hii ni kwasababu MUNGU kakupa vyombo vya kukusaidia kupata uhakika wa kila jambo, ndio maana akaendelea kusema ya kwamba إِنَّ ٱلسَّمْعَ وَٱلْبَصَرَ وَٱلْفُؤَادَ كُلُّ أُو۟لَـٰٓئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْـُٔولًۭا.... hakika MASIKIO, MACHO na MOYO kila kimoja kitaulizwa siku ya mwisho.

1702930905335.png
 
View attachment 2846596
na katika dini ambayo watu hawatumii akili ni dini yako wewe wapo race race sana kichwani mmefia dini

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mavi!
 
Usafi wa kiakili ni moja ya malengo ya Uislamu. Uislamu unalenga, miongoni mwa mambo mengine, kuikomboa akili ya mwanadamu kutokana na vikwazo vyote vya iman (kuamini Mwenyezi Mungu na ukweli uliofichika) na kuwaongoza watu jinsi ya kuitakasa na kuhifadhi akili. Uislamu ni mfumo wa maisha unaohitaji maarifa nasio hisia.
 
Back
Top Bottom