somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

    Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja ambaye kanitesa, akiniyumbisha na kunifanya nipitie tanuri la moto.. Ni kama nilikuwa nimerogwa kuwa...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!. TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha. Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu. Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI. Endeleeni kumtuma...
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha

    Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha? Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya kipumbavu . Yanaonyesha maua uchwa mwezi mzima na vile nyimbo vyao uchwara Safari channel kama...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia, Mamlaka ya Mwanamke na Somo kwa Taifa

    Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka. Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kibano cha "Soft-Ball" cha Odemba kwa Kihongosi na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM

    KIBANO CHA "SOFT-BALL" NA UPWAYAJI WA HABARI: Uchambuzi wa Mahojiano ya Kihongosi na Odemba, na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM Habari za jioni Wana-JamiiForums (JF), Matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Leo nimeona nilete mada hii mezani kwenu kwa...
  7. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Anguko la Dr. Emmanuel Nchimbi na Somo la "Trojan Horse": Alikosea wapi Kisiasa?

    I. Kupanda Chati kwa Nchimbi Kupanda kwa Dr. Emmanuel John Nchimbi hadi kufikia nafasi ya Makamu wa Rais kuliashiria kilele cha safari ndefu ya kisiasa ndani ya mfumo na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Yeye hakuwa mgeni wala mtu wa nje aliyekuwa anapambana na mfumo; alikuwa kada mzoefu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  9. kahtaan

    JamiiForums Tanzania WENYE KUFAHAMU KIINGEREZA MTUSAIDIE HAPA. Hili somo muhimu sana.

    https://vt.tiktok.com/ZS43Hah8U/
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wapishi kuna somo lenu hapa kidogo

    Hello Njegere sio mboga ni kiungo tu cha chakula kama vile nyanya na matumiz yake ni Una weza pikia kwenye Ubwabwa Samaki Nyama Ndizi Ivyo wengi mna geuza matumizi badaal yake mna ifanya mboga mna unga na nazi mna kosea ile ni kiungo cha nakshi nakshi kwenye chakula kuleta mvuto katika...
  11. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Kuna somo kubwa nimejifunza

    Miaka michache iliyopita kulikuwa na dada mmoja ambaye nilikuwa namfahamu kwa mbali. Alikuwa mfanyabiashara. Kwenye mitandao ya kijamii alikuwa anaonekana kuishi maisha ambayo wengi walikuwa wanayatamani. Mara vacation, hoteli za kifahari, simu za gharama, shopping za kila mara. Ukiangalia...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

    Napendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi. Kwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania "Lema hajaelewa somo" Tundu Lissu

    "LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU "Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema, Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati...
  14. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mafanikio ya Wachawi na Somo Kwetu

    1. WAKO MAKINI NA MAMBO YAO. Hawataki mchezo kwenye harakati zao za uchawi wakiambiwa lazima upatikane unyayo wa paka basi atamtafuta paka siku nzima na kwa gharama yoyote paka ampate. Lakini wewe ukiambiwa toa chakula kwa mayatima ili ufanikiwe utaanza sababu mia kidogo unaona unapoteza hela...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  16. B

    JamiiForums Tanzania "Uzalendo" Ufundishwe Shuleni kama Somo

    Habari, Uzalendo ni nini? Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake. Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin ukiangalia mitaala sana inasimulia zaid historia ya nchi na matukio yaliojitokeza sambamba na tawala...
  17. Surya

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya ajabu kunikuta ila Ni somo linanipa kicheko leo

    1. Nikiwa sekondari wakati tunaanza form 2 nilijikuta accidental Nanyoosha mkono kugombea uongozi wa darasa, Nilipata Kura Moja (1) yani kura moja yakujipigia mwenyewe darasa lina zaidi ya wanafunz mia. then kuna rafik yangu wa karibu alitafuta nafasi muda tukiwa darasani akajipitisha na maneno...
  18. n00b

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  19. Luhinda skyhome

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Asset na Liability: somo ambalo watu wengi hawalielewi

    Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na Liability. Kwa lugha rahisi ✅ Asset ni kitu kinachoweka pesa mfukoni mwako au kinaongeza thamani ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uhaba mkubwa wa Walimu wa somo la Literature katika Shule za Serikali

    Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita. Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
Back
Top Bottom