wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
  2. G

    Wazazi wetu:-Mgeni akiwa anakula ukimuangalia unapigwa, ukipigwa ukalia unapigwa na usipolia unapigwa

    Wazazi wetu walikuwa hawaeleweki wanataka nini. *Mgeni akifika halafu mtoto akawa anamuangalia, anapigwa. *Akiwa anakwepa kumuangalia mgeni (anaangalia chini), anapigwa. *Mgeni akitengewa chakula halafu mtoto akamuangalia wakati anakula, anapigwa. *Mtoto akipigwa akalia, anapigwa. *Na...
  3. Wazazi mnapaswa kutambua vipaji vya wanenu

    Katika dunia tuishiyo leo, ni bora kuwa vizuri katika jambo fulani(kuwa expert) kuliko kuwa na ma vyeti mengi lkn uko shallow! Yaani unatakiwa kuwa mjuzi katika filed husika. Mfumo wa elimu hauna specifications kwamba wewe una kipaji gani bali ni one fits all. Hivyo basi wazazi wanapaswa...
  4. Ushauri: Wazazi wanataka kumtafutia mchumba

    Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini. Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience 🙏🏿
  5. Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

    Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu. Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu. Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi...
  6. Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki. Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo...
  7. Jumuiya ya Wazazi (CCM) Siha Imeadhimisha Wiki ya Wazazi kwa Kupanda Miti 100 Shule ya Msingi Mendai

    JUMUIYA YA WAZAZI SIHA IMEADHIMISHA WIKI YA WAZAZI KWA KUPANDA MITI ZAIDI YA 100 SHULE YA MSINGI MENDAI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro imeadhimisha wiki ya Wazazi Wilaya ya Siha kwa kupanda miti zaidi ya 100 katika shule ya msingi ya Serikali...
  8. Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  9. U

    Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  10. Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  11. Kuweka Mipaka na Wazazi kwa Vijana

    Ninafahamu kuwa kila familia ina utamaduni wake na maoni yake kuhusu jukumu la watoto kwa wazazi wao. Hata hivyo, binafsi ninaamini kuwa wazazi wanabidi wajue kuwa sio rahisi kuwahudumia, au kuhudumia familia nzima hasa pale unapojikuta hali yako ya Uchumi ni tete, au ajira imekuwa changamoto...
  12. Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

    Inasikitisha sanaa Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita Jana anarudi anakuta watu wanejaa...
  13. M

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  14. Asilimia kubwa ya shule za Tanzania, serikali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana, matokeo yake mzigo huo wamebebeshwa wazazi

    Katika mawaziri wa hovyo Bashe ni mmoja wapo unapokataa msaada na kusema tunaweza swali la kumuuliza kwanini mpaka leo shule nyingi za msingi na secondary serekali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana bali huo mzigo wamepewa wazazi wachangie. Hii nchi tuache siasa za hovyo kama anazofanya...
  15. U

    Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  16. Mabinti wanaomaliza vyuo na kurudi nyumbani wananyanyapaliwa sana na wazazi kuliko vijana wa kiume

    Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo. Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao...
  17. Ninawapongeza wazazi wote wanaopambana kulea watoto wao wenyewe kwa namna yoyote ile

    Wakuu dunia imefikia pabaya. Watu wamekuwa na roho za kikatili zisizoelezeka. Wahanga wa matukio ya kikatili ni watu dhaifu na mafukara ambao hushindwa kupata haki kwa sababu haki zao huporwa na wenye hela waliowafanyia ukatili. Hizi nyakati sio za kuacha mwanao akakae na kulelewa kwa bibi...
  18. Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  19. Wazazi na walezi sehemu za choka mbaya wanaona sifa mtoto kusoma shule za msingi walipo mbali na mjini

    yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz. Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…