Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,966
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

iamlillys.l_1710713692813.jpeg
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
 
Duh! Hiki kizazi cha sasa.. Yani wasichana wadogo wanatengeneza content za kufundishana namna ya kumeza ngoma!! Halafu unajisifu una mtoto umefundisha.

Kwa maana nyengine, huyu ni malaya msomi. Kaamua kujiongeza zaidi ili ajipatie jina na kipato. Aisee, hii dunia inapokwenda!
 
habari wadau.

kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. View attachment 2937684

huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.

baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni. anafundisha watu jinsi ya kupigana miti

imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi...halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka...huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine....anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada... halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

View attachment 2937685

hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa mateso makubwa bora asome shule za kawaida tu.
Hela za familia yake, degree yake, maisha yake. Muache aishi anavyotaka.

Ukitaka kuwachunguza watu hutawamaliza.

Pangana na mwanao umsomeshe unavyotaka, afanye mtakachokubaliana.
 
Kikubwa watu wapate pesa ,ishu za kusoma ni kupata exposure ila hazilipi.

Kaskazini haina mambukizi ya ngono kwa sana labda Kilimanjaro ndio inaleta aibu,wanapenda ngono zembe sana kwa sasa
Unajua darasa la Saba wanawachukia Sana wasomi.

Wakiwa kungwi hawataki
Wakiwa saidia FUNDI na wachoma mahindi hapo ndo wanasema safi Sana.

😁😁😁😁 waache Dada apige pesa maana taifa la watu wanaowaza ngono 24/7 unabidi uwaletee content zao zinazo match na akili zao
 
habari wadau.

kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. View attachment 2937684

huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.

baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni. anafundisha watu jinsi ya kupigana miti

imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi...halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka...huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine....anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada... halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

View attachment 2937685

hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa mateso makubwa bora asome shule za kawaida tu.
Unaposomesha mtoto unamtayarisha na maisha yake ya baadae sio kama kaona hiyo ndio fursa kwake na inampa kipato cha kujikimu ni maamuzi yake kinachokuumiza wewe nini somesha wako!
 
Back
Top Bottom