miaka 30

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Nurdin aenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji wa mwanafunzi

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Je, nini husababisha watu kufikia hii Hali .. Hana familia,mpenzi wala ndoa? Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Oktoba 2026: Tibeli women, mwanamke mjenzi. Nitasimama

    OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
  4. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongoflava Dj mix sikiliza hapa.....nyimbo pendwa za muda wote

    https://audiomack.com/nasmiletz/song/dj-nasmiletz-miaka-30-bongo-flava-oldskool-mixcrate zimeandaliwa na dj nasmiletz +255627474141 je kuna noma ani imemiss?? na ipi umeikubali?? sikiliza mpaka mwisho ufurahie na ukumbuke enzi zako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasanii na Organisers: Miaka 30 ya Bongo Fleva.

    Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye mada husika, tour zinazofuata naomba mzingatie yafuatayo: Gangster With Matatizo (GWM) waje waimbe – YAMENIKUTA Big Dog Pose(BDP) waje waimbe – MA-JOB-LESS Mwana FA usiache kuimba – Haina Fagio Fid Q usiache imba – Sihitaji Marafiki GK usiache imba – Tuko...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

    Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life. Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni?? Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage. "NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI" "USHANTA"...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

    Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha. Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva miaka 30 ni zaidi ya fiesta.

    Nasema tamasha la maadhimisho ya bongo fleva mika 30 ni zaidi ya fiesta. wakongwe wamekamata kila kona. Leo tarehe 19.09. Chuga kitawaka. TMK halisi tunawataka wapige shoo kwa pamoja kama walivyo kuwa.
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Baada ya Miaka 30 Huyu Hapa Ahukumiwa Kwenda Jela Mauaji ya Mwanamuziki 2Pac

    Baada ya takriban miaka 30 ya sintofahamu kuhusu kifo cha rapa maarufu Tupac Shakur, kiongozi wa zamani wa kundi la “South Side Compton Crips”, Duane “Keffe D.” Davis, amepatikana na hatia ya mauaji yake. Kifo cha Tupac mwaka 1996 katika shambulio la risasi lililofanywa na watu waliokuwa ndani...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya bongo fleva, Dodoma yaipiku Dar es salaam mbali sanaaaaa, ili bidi ukuta uvunjwe, ili watu wapate nafasi

    Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi. Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
  13. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva Honour dhidi ya Siasa bongo

    Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
  14. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya BONGO FLEVA pasipo kumkumbuka mkali voice wounder hamna kitu

    Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani... Hawajamleta mkali voice wounder Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc Bado nitaendelea kuamini ile...
  15. karonga

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo flavor

    Hili tamasha la miaka 30 ya bongo fleva limeibua mambo mengi tusioyajua, ni bora kusikiliza zile nyimbo zao za zamani kuliko kuwasikiliza hawa wasanii, Sauti zao zimepotea kabisa, sijui ni uzee au washazilia unga, bangi na pombe sielewi, ninachojua ni kuwa Dudu baya ndie pekee mwenye sauti yake...
  16. Labyrinth 84

    JamiiForums Tanzania Sheria ya miaka 30 kwa bangi na mirungi ipitiwe upya

    Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa. Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu ya miaka 30 jela hapo unakua unamfunza au kumkomoa? Stage ya ujana inaaminika ni hatua ya mtu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva ina miaka 30? Kulikuwa na kwanza unit ya akina D knob na Niga one

    HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
  18. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
  19. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Bongo legendary music festival ya 2022 : Ukurasa unaosahauliwa katika mjadala wa bongo fleva honours na miaka 30 ya bongo flava

    BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022 : UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Flava inavyoendelea, ni muhimu pia kuikumbuka historia ya matukio yaliyotangulia...
  20. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo Fleva Mwanza

    JE, HISTORIA YA PHILIBERT KABAGO IMESAHAULIKA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLEVA? Tarehe 8 Agosti 2026, macho ya wadau wa muziki yataelekezwa jijini Mwanza katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva litakalofanyika The Climax, Rock City Mall. Ni tamasha linalolenga kuenzi safari ya muziki wa Bongo...
Back
Top Bottom