kulelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Watu wengi tumekua na kulelewa pamoja ila sasa hatuzungumzi

    Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama...
  2. AmKATRINA

    Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

    Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu. Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu. Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi...
  3. P

    Vijana siku hizi sijui wamekuaje? Nimeshindwa kuelewa na uvivu au ni nini? Yaani wanataka kulelewa

    Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani? Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani Anakuuliza tena kwako au kwenu? Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako, basi ataanza nataka kuja kukusalimia ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani...
  4. M

    U-Marioo (kulelewa) ni kipaji!

    1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi. 2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati tofauti) sikudumu nao. Nilizua varangati nikasepa. 3. Nimeoa Sasa, nimebaki kuwa mshauri mwelekezi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kusema mtoto kulelewa na Bibi na Babu ataharibika ni Uongo kwa sababu tupo wengi ambao hatujaharibika

    KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
  6. R-K-O

    Kwanini watu wengi tuliobahatika kulelewa na wazazi / ndugu tunadharau watoto wa mitaani ?

    Nami wala nisiwe mnafki sitaki nijifiche kwamba ni mwema kwamba niwakemee wengine Watu wengi tumepata bahati ya kuweza kuja hapa duniani tukiwa na bahati kubwa sana ya kupata malezi ya kulishwa, kuvishwa, kuishi nyumbani na kulelewa na wazazi ama ndugu walioweza kujitwika hayo majukumu. kuna...
  7. Nakadori

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai. Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
  8. Mung Chris

    Kabila lipi hapa nchini linaongoza kwa kupenda kulelewa na wanawake

    Wapo wanaume wasio fanya kazi ila wanataka kulelewa na kuhongwa, ni kabila lipi linaongoza kwa tabia hiyo maana hata kuoa hawataki.
  9. Miss Zomboko

    RC Chalamila: Wanaume wengi wa Mkoani Mbeya wanapenda kulelewa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa wa Mbeya, wameachiwa jukumu la kuendesha familia zao huku wanaume wakiongoza kufanya vitendo vya dhuluma dhidi ya mali zinazotafutwa na wake zao. Chalamila ameyasema hayo wakati akifunga kongamano la sita...
  10. C

    Kijana: Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

    Vijana wa mujini, wenyewe wanaita msingi kiuno, yaani unapata mwanamke mtu mzima kakuzimikia anaamua kukuchukua mkaishi wote kwake huku anagharamia bill zote ikiwemo kodi, umeme, maji, gharama za simu,nauli/mafuta & service ya gari n.k. Lakini kwa namna wake zetu (nimeoa) walivyo na maneno ewe...
Back
Top Bottom