Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana nikimkuta na uvaaji huu huwa inanikata mood mno
Msichana Kubali Tu 😅
Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂
Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira ya kazi na wengine wakiwemo wale wa Fedha za Kujikimu.
Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko...
Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo...
Habar wapendwa
Kuna huyu dada angu ana miaka 25
Elimu kidato cha one
Amesomea utalii ngazi ya certificate
Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato
Anapatikana moshi kilimanjaro
Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar
Mawasiliano+255760119470
Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga.
Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
Sababu ni hizi
☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo.
☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani?
☆ Social...
Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Ikiwa...
kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme.
WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
Msichana mdogo mwenye tabia kama za kiume anafanya jambo la kushangaza baada ya kutaka kujiunga na jeshi ili haweze kuikoa nchi yake dhidi ya maadui hatari wa kichawi.
Shida kubwa mdada huyo nj mwanamke na wanaohitajika ni wanaume je hatafanikiwa ??
Angalia video full 🔋...
Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione light flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu
Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi...
Habari za wakati huu wakubwa
Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye...
MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi.
Tukio hilo ambalo...
Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku ya Jumamosi baada ya kudaiwa kujaribu kumhonga mlalamikaji, ambaye sasa ana umri wa miaka 21, ili...
Wakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.