Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

Nakumbuka wakati niko chuo nilikua nafanya kazi za vibarua
Kugawa vipeperushi vya bidhaa kwa Malls weekends
Usiku nako promo za wines, spirits
Likizo nasafiri hadi mikoani na kampuni hizo
SIkuwahi kukosa pesa siku zote geto lilijaa full!! Handbags nabeba brands😃 simu kaliii😜 japokua siku za kwanza nilikua napata tabu kukutwa na wenzangu 🤣😄
Ila mwisho wa siku wao wenyewe wakawa wanasema niwatafutie kazi .........nataka kukwambia nini???
Usione aibu tafuta vibarua pambana pambana pambana pesa mtaani zipo, vibarua vipo
Weka aibu mfukoni
 
SIkuwahi kukosa pesa siku zote geto lilijaa full!! Handbags nabeba brands simu kaliii japokua siku za kwanza nilikua napata tabu kukutwa na wenzangu
Ila mwisho wa siku wao wenyewe wakawa wanasema niwatafutie kazi .........nataka kukwambia nini???
Usione aibu tafuta vibarua pambana pambana pambana pesa mtaani zipo, vibarua vipo
Weka aibu mfukoni
Siku hizi hivyo vibarua hufanya na graduate kabisa, kuna ukosefu wa ajira ile mbaya
 
Nakumbuka wakati niko chuo nilikua nafanya kazi za vibarua
Kugawa vipeperushi vya bidhaa kwa Malls weekends
Usiku nako promo za wines, spirits
Likizo nasafiri hadi mikoani na kampuni hizo
SIkuwahi kukosa pesa siku zote geto lilijaa full!! Handbags nabeba brands😃 simu kaliii😜 japokua siku za kwanza nilikua napata tabu kukutwa na wenzangu 🤣😄
Ila mwisho wa siku wao wenyewe wakawa wanasema niwatafutie kazi .........nataka kukwambia nini???
Usione aibu tafuta vibarua pambana pambana pambana pesa mtaani zipo, vibarua vipo
Weka aibu mfukoni
Ushauri mzuri sana
 
👍
 
Ulichokiandika kwa mtu mjinga ataamini kuwa ni kweli
 
Mkuu Kwanza nikupe pongezi kama kijana mwenzangu Kua na mawazo chanya katika Maisha,mimi pia nipo chuo na niseme atleast nimeweza kumanage kuishi bila kua tegemezi kupitia biashara ya simu
📱sina Maana kama namiliki duka la simu ila
📱nimefight na kufanikiwa kua na connections ya baadhi ya Maduka ya Sim hasa used from Dubai pale kariakoo
📱ambapo kazi yangu kubwa ni kutafuta wateja kupitia social media kama vile whatsapp, Facebook
📱ambapo nikipata mteja namuelekeza alike dukan alipie mzigo pia kama yupo mkoani namsafirishia kwa uaminifu
✅️kupitia biashara hii niko na uwezo wa kutengeneza hata 300000 kwa simu moja pia so mbaya kuna siku nyingen napat 20000 tu pia kuna kipindi kinanaweza kupita hata wiki mbili bila kuuza simu ila Ile Ile saving ya simu ambazo nimeuza Kabla inanisogeza hadi kupata mteja mainline
✅️cha kuzingatia simu halal toa warranty pia fanya kwa uaminifu zaidi italupelekea kua connected na watu wengi maeneo tofauto tofauti
✅️nikiunga bundle langu la mwezi la 30000 gb35 linanisaidia mda wote kua online hata mtu akipendezwa na bidhaa niko na uwezo wa kutuma picha ontime
✅️kikubwa uvumilivu mwanzo ni mgumu siku zote katika kila jambo linalohusu maendeleo
🌍 njoo dm kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom