ajinyonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. shuka chini

    Geita: Mwalimu ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia

    Mwalimu wa shule ya msingi ng'weja mwalimu Nteba. M . Shija (36) ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia. Tukio hilo limetokea juzi 13/3/2025.mwalimu huyo aliamka siku hiyo akiws salamq akaenda shule ila baada ya kutawanyisha watoto mida ya saa tano akawa amerudi nyumbani kwake muda huo mke wake...
  2. Kidagaa kimemwozea

    Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari

    Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake. Chanzo...
  3. I

    Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

    Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga. Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
  4. Beira Boy

    Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU One Man down again Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga He rest down because of love MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia LONDON BOY
  5. Roving Journalist

    Katavi: Mwanafunzi wa Darasa la Tatu ajinyonga kwa kukosa nguo mpya siku ya Sikukuu

    Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 03. 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kasta Ngonyani, amesema tukio hilo limetokea mnamo...
  6. Mkalukungone mwamba

    Mbeya: Kijana wa miaka 34 ajinyonga kisa mgogoro wa familia

    Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa. Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike ================== Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Fred Sanga (34), mkazi wa Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete, Mkoa wa...
  7. M

    Morogoro: Mwanaume wa miaka 46 ajinyonga kwa kutumia chandarua, alikuwa na changamoto afya ya akili

    Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Emilian Makalla (46) Mkazi wa Bigwa Barabarani wilaya ya Bigwa Mkoani Morogoro amejinyonga kwa kutumia chandarua na kufariki dunia nyumbai kwake huku chanzo kikiwa hakijafahamika. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wameeleza kwamba Emillian alikuwa...
  8. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  9. K

    TANZIA Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala ajinyonga kisa madeni, mgogoro

    Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu. --- ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa...
  10. Ndagullachrles

    Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
  11. Pdidy

    Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

    Inasikitisha sanaa Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita Jana anarudi anakuta watu wanejaa...
  12. Tajiri wa kusini

    Ajinyonga kisa kukosa nauli ya kwenda ukweni.

    Kijana William Bahati (20) Mkazi wa Kijiji cha Kashero Wilayani Mbogwe Mkoani Geita amefariki Dunia kwa kujinyonga na kamba ya kufungia mbuzi huku sababu zikitajwa kuwa ni kukosekana kwa nauli ya kwenda ukweni kumzika Baba Mkwe wake. Akiongea kuhusu tukio hilo Mke wa Marehemu, Grace Jeremiah...
  13. B

    Lindi: Ajinyonga akidai watu wanamvuruga

    Kijana aitwaye Hassan Ally Mnali (32) Mkazi wa Mtaa wa Jamhuri, kata ya Msinjahili, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi amefariki baada ya kujinyonga usiku ikidaiwa kuwa kabla ya kujiua alikuwa akilalamika kuna Watu wanamvuruga. Ndugu wa Marehemu wanasema hawafahamu sababu ya kujinyonga lakini...
  14. BARD AI

    Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  15. benzemah

    Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  16. B

    Iringa: Ajinyonga baada ya kuachana na mkewe

    Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita. Marafiki na majirani wa marehemu...
  17. DodomaTZ

    Katavi: Ajinyonga chumbani kwa Watoto wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Eden Mwakipesile (49) mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu Mkazi wa Kijiji cha Ibindi Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amekutwa akiwa amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha kulala watoto wake kwa kutumia Kamba. Diwani wa Kata hiyo ya Ibindi Daniel Peter...
  18. tpaul

    Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  19. Hemedy Jr Junior

    Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  20. Analogia Malenga

    Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

    Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
Back
Top Bottom