siha

Siha District is one of the seven administrative districts of Kilimanjaro Region in Tanzania. It covers approximately 1,158 square kilometres (447 sq mi). It is bordered to the west by the Arusha Region and to the east by Rombo District and Hai District. The western part of Mount Kilimanjaro is located within the district's boundaries.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Siha District was 116,313.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Mkuu wa Wilaya ya Siha: Vijana walioweka jeneza juu ya gari walikuwa wamelewa

    Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi. Pia Soma: Jeneza lawekwa juu ya gari...
  2. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Siha, ajira ya Julai 2021 bado tunadai mshahara wa kwanza

    Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021. Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano. Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
  3. A

    KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Siha hatuelewi hatma yetu, hatujapewa barua ya uthibitisho wala kuongezewa muda

    Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba, 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Kilimanjaro tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana...
  4. A

    KERO Watumishi wa afya wa Wilaya ya Siha tuliajiriwa 2024, hadi sasa hatijathibitishwa kazini

    Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
  5. A

    KERO Makundi ya WhatsApp Siha: Udhalilishaji Watawala

    KERO: MATUMIZI MABAYA YA MAKUNDI YA WHATSAPP WILAYANI SIHA Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Siha. Nina kero kuhusu uwepo wa makundi ya WhatsApp yanayotambulika kwa majina ya Siha Development, Siha Unity na Sauti ya Siha. Makundi haya ambayo awali yalikuwa yakitumika kujadili maendeleo ya wananchi...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Uchaguzi mdogo Fuoni na Siha kufanyika leo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele, leo Desemba 29, 2025 ametoa taarifa kuhusu uchaguzi mdogo wa ubunge unaotarajiwa kufanyika Desemba 30, 2025 katika Jimbo la Siha, Mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Bara) na Jimbo la Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi...
  7. DodomaTZ

    Kijiji chote cha Mji Mwema - Siha kijiji chatoka kuwasha taa ya Dkt. Samia

    Kijiji cha Mji Mwema wilayani Siha kimewaka kwa hamasa baada ya wananchi kuwasha taa za Dkt. Samia mara baada ya kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin. Katika mkutano huo wa kampeni, Dkt. Godwin aliwaeleza wananchi kuhusu kazi kubwa na mafanikio...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea ubunge CUF Siha auawa kinyama katika ugomvi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha. Tukio la kujichukulia sheria mkononi limetokea Oktoba 7, 2025 majira ya saa 1:30 usiku katika Kijiji cha Kilingi, baada...
  9. A

    Siha naombeni matokeo

    Taarifa zinatatanisha,naombeni matokeo huko Siha mkoa wa Kilimanjaro,mzee wangu wa Siha nilimuombea sana tangu anachukua form,vp matokeo yake
  10. BigTall

    GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  11. SSH2025_2030

    Tetesi: ‘Dkt. Shika’ apoteza Jimbo la Siha

    Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
  12. DodomaTZ

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel achukua fomu ya kutetea Ubunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
  13. S

    GE2025 Kennedy Mmari achukua fomu ya ubunge Siha, Kilimanjaro

    Katika kilele cha siku ya kwanza ya mchakato rasmi wa uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Siha limeandika historia yake kwa kumpokea mjasiriamali Kennedy Mmari (33) kama mgombea wa kwanza kutia nia. Ni majira ya saa 8:21 mchana...
  14. K

    Shule ya Msingi Lomakaa Wilaya ya Siha Hatarini Kufungwa

    Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita Chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma za...
  15. The Watchman

    TANZIA Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Siha afariki dunia

    Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini Dar es salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha, Imma Saro...
  16. and 998 others

    Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  17. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  18. BigTall

    LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
  19. chiembe

    Mama Janeth Magufuli anazidi kung'ara kwa siha na wajihi katika awamu hii ya sita

    Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana mawazo, amesakata dansi pale ikulu chamwino, Mwenyezi Mungu amuweke.
  20. M

    Saa nne na nusu Dar es Salaam - Morogoro, haina siha kwa uchumi wetu

    Dar es salaam mpaka Morogoro ni umbali usiozid kilometa mia mbili lakini muda unaotumika kwa sasa hasa mabus ya Abiria ni masaa manne mpaka matano.Hii haina tija kwa uchumi wa nchi. Ni lazima lifanyike jambo la haraka.
Back
Top Bottom