Hamjambo wote!
Nilikuwa najiulizaga kwa nini watu wengi hawapendi kufikishana mahakamani. Iwe kama shahidi, mshtaki au mshtakiwa.
Kushtakiwa niliwaona wanaona hoja. Lakini mashahidi na wenye mashtaka sikuona haja ya wao kuogopa kwenda Mahakamani
Lakini kesi ya Lisu imenifumbua macho.
Huko...
Ongezeko la gharama za usafiri licha ya mafuta kushuka bei limeendelea kuwa changamoto kwa baadhi ya wananchi wanaotumia usafiri wa umma katika shughuli zao za kila siku, huku abiria wakieleza kuwa nauli kubwa inaongeza mzigo wa gharama za maisha.
Baadhi ya abiria wanasema wanalazimika kutumia...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani.
Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
Anonymous
Thread
basi
dodoma
kuingia
kulipia
kupanda
mabasi
stendi
stendi ya mabasi
tiketi
ushuru
wazi
wizi
Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM.
Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa.
kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
bei
ccm
chama
katambi
kati
kuku
kuongeza
kupandakupanda bei
kutumia
maana
mkuu
mpaka
mwenge
nayo
ng'ombe
nguruwe
nyama
nyama ya ng'ombe
swala
ufugaji
ufugaji wa kuku
wako
waziri
waziri katambi
Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote.
Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa wakulima?
Mfano mbolea Kama SA mwanzo ilikuwa 54,000 na sasa inauzwa 61,000.
Pia soma ~ TFRA...
Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena.
Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake.
Maadui hawa wa...
Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi.
Angalia mwenendo wa bei Dar:
Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115
Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248
Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
Kuna vitu vinasikitisha sana.
Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu.
Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
guest-1787677352
Thread
boys
gharama
gharama za maisha
haramu
kupanda
maisha
milioni
milioni 500
serengeti
serengeti boys
serikali
Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu.
Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria atakaye uliza majibu watakayopewa ni kuwa usiku usafiri wa shida gari chache pia barabara za maeneo...
Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini.
Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule.
Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida...
Anonymous (01f4)
Thread
bei
bei ya mbolea
dakawa
kila siku
kupanda
mbolea
mbona
siku
Ni mara kadhaa nimewahi panda gari konda na dereva wakawa wamepishana kauli hawaelewani wanagombana, ila hii ya leo walizidi.
Leo nimepanda daladala kutoka Tegeta kwenda Mwenge, konda na Dereva wakawa wanagombana, ugomvi wao ulianza kabla sijaingia hivyo sijui chanzo hasa cha kupisha kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.