miti

  1. N

    Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana. Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa. La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  2. N

    Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Siku ya Misitu Duniani - Musoma Vijijini Washerehekea kwa Kupanda Miti Mashuleni

    SIKU YA MISITU DUNIANI (THE INTERNATIONAL DAY OF FORESTS) - MUSOMA VIJIJINI WAISHEREHEKEA KWA KUPANDA MITI MASHULENI Leo (21.3.2024) ni siku ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kukumbushana umuhimu wa misitu ya aina zote. UN ilipitisha azimio la siku hii (tarehe 21 Machi ya kila mwaka) kwenye Mkutano...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Kairuki Akagua Mabanda ya Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Aongoza Wanawake Kupanda Miti Mvomero Katika Maadhimisho ya Wiki ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero. Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
  6. K

    Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  7. A

    Natafuta wateja wa kununua miti aina ya milingoti na mipine

    Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi ya miti 1000 karibuni wote wenye uitaji kwa mawasiliano nipigie namba 0629097093
  8. JanguKamaJangu

    Polisi wapanda miti 1,000 Monduli Juu, waziomba jamii za kifugaji kutunza mazingira

    Jeshi la Polisi Katika kuhakikisha linaendelea na ulinzi wa raia na mali zao hapa nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo nchini (STPU) kimeshiriki katika kampeni ya upandaji miti zaidi ya elfu moja katika kata ya monduli Juu Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na...
  9. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aitaka TANROADS Kupanda na Kuhudumia Miti Katika Maeneo ya Barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  10. J

    Bashungwa aitaka TANROADS kupanda na kuhudumia miti katika maeneo ya barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  11. C

    Tenda za miche ya miti

    Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya...
  12. Wakili wa shetani

    Nikilima miti ya Christmas inaweza kunilipa?

    Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa?
  13. Hismastersvoice

    Wakati wa kupanda miti kwenye milima ni huu ambapo mvua zinanyesha

    Baada ya janga lililotokea Hanang inaelekea tumelichukulia kuwa limekwisha, ninapenda kuwashauri viongozi wote nchini kuwa vilima byote ambako mvua zinanyesha huu ndio wakati wa kupanda miti. Viongozi wetu wamekuwa na mtindo wa kiweka siku ya kupanda miti hasa wakati hakuna mvua na matokea...
  14. BARD AI

    Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  15. Zogolo1550

    HUDUMA YA KUKATA MITI NA KUFANYA PRUNING

    Tunatoa Huduma ya kukata miti hususani iliyo katika mazingira ya hatari na Ku fan ya pruning(kupunguza matawi) kwa kutumia chaisaw. Tunapatikana Mbezi mwisho. Kwa mawasiliano: 0758700852/0694340728
  16. N'yadikwa

    Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  17. BARD AI

    Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  18. GoldDhahabu

    Mimea ina akili?

    Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo. Lakini nimeshangaa kukuta umeshajisogeza kwenye fensi na kuendelea kukua kwa kuukwea. Hakuna mtu...
  19. Webbyllon

    Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  20. Joe Navarro

    Waelewe Watu kupitia Miti

    AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO.. 1. Watu Majani 2. Watu Tawi 3. Watu Mizizi Watu Majani: Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka nao. Unatakiwa kuwa makini na hawa...
Back
Top Bottom