wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Dec 09 vijana msiwaache wazazi wenu na ukiwa hebu mjitambue

    Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani? Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  4. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  7. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Wazazi amkeni, simu mnazowanunulia watoto wenu wanazitumia ndivyo sivyo

    Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smartphone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:- 1. Kutukana serikali mitandaoni 2...
  8. Gmm Mwakage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoesheni mabinti zenu kuwaambia mnawapenda, wanatapeliwa sana miili yao huku nje wakiambiwa hayo maneno

    Watoto wengi wa kike siku hizi wanatapeliwa kirahisi sana miili yao kwasababu kuna maneno wanayoambiwa na boys ambayo nyumbani hawaambiwi. Sasahivi imezoeleka kuwa maneno kama "NAKUPENDA" yanasikika kwa watu wenye mahusiano ya kimapenzi tu na wala si manyumbani mwetu. Lakini kupendana si tu kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa inayofanya wazazi waliofanikiwa kuwa wagumu kutoa connection kwa marafiki za watoto wao, heri wampe ndugu au mtu baki wasie mjua

    Jioni, sebuleni kwenye nyumba ya kifahari. Baba anasoma ripoti. Anord anaingia kwa heshima. ANORD: (Anakohoa kidogo) Kama sio kuhusu gari lingine au pesa ya ziada BABA (MKURUGENZI WA TAASISI): (Bila kuangalia juu) Kama siyo kuhusu pesa au gari jingine, endelea. ANORD: (Anaketi) Siyo hilo. Ni...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana amwambia Zitto 'Uliwapigania wazazi wetu ni muda wa sisi kukupambania'

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili. Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
  11. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFADHALI piga picha na wazazi wako

    Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo. Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele. Picha ya leo ni kumbukumbu utakayobaki nayo kesho. Na usiishie kwa wazazi fanya hivyo kwa ndugu zako...
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mtu kuichukia nchi yake ya asili aliyozaliwa au ya wazazi wake?

    Kuna watu mtandaoni wanasema ni bora kujiua kuliko kurudi au kurudishwa kwenye nchi zao za asili!
  14. hamis77

    JamiiForums Tanzania Wazazi kama mna hii midoli, ichomeni moto

    😈🧸 THE DEMON BEHIND THE SMILE: PAZUZU VS LABUBU Katika historia ya kale, watu wengi waliabudu miungu ya uongo kama Ashera, Bali, Zeus, Dagon, Hubal na mingineyo. Leo hii, roho zilezile zimerudi duniani, lakini zimevaa majina na sura mpya ili kuabudiwa na watu bila wao kujua., Huko nyuma...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa. Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu. Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Urgently: Rais Samia nakuomba fanya jambo hili haraka sana uwasaidie wazazi wanao somesha Kayumba

    Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku getini mtoto haruhusiwi kupita getini. Mbaya zaidi hadi wakati wa likizo kama huu walimu...
  17. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

    Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta? Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali. Kuna shule moja Jijini Mbeya inaitwa ITIJI SECONDARY inapatikana Kata ya ITIJI ni Shule ya Kata imekuwa na...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu za kuaga wazazi kwenda kufanya SUP chuoni

    Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10 Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9 Nimebuni mbinu hizi ila wapi? 1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo 2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo...
  19. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  20. Sales man

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wazazi wenu walisema siasa Mbaya na haifai leo hii mnawalaumu walioingia huko na sasa wanakula matunda

    Tuache kulalamika, MTU ameingia katika siasa, kakukbali kutukanwa , kubezwa n.k Na nyie mlisema siasa ni Mbaya Ila Leo hii mnalalamika nini sasa.
Back
Top Bottom