taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Makonda kuunda kamati ya kuchunguza zabuni jezi za timu za Taifa.

    Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini manufaa ya makataba huo kwa Timu za Taifa. Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Waziri huyo...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TFF: “Suala la Jezi za Taifa Stars Lipo Mamlaka za Juu”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu. Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Taifa lolote yanaletwa na kushindanisha Ubora kuanzia mifumo ya kapata viongozi ELIMU na uchumi tunaandaa taifa duni tukiondoa ushindani

    Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani. Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  5. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama Vinapaswa Kulinda Taifa, Siyo Kulinda Mtu Mmoja | Kwa Nini Usimamizi wa Kikatiba ni wa Lazima

    Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa Vinapokuwa chini ya mtu mmoja pekee, bila usimamizi wa nje, vinaweza kutumika kwa urahisi kulinda...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahinyila: Usaliti unaliangamiza sana Taifa kuliko CHADEMA

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma wamewasaliti wananchi. Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

    JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani? UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM. Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  14. Isanga family

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga aliyemshambulia kocha wa Gaborone Utd akamatwe. Caf waifungie Yanga. Ushamba na upuuzi kama huu ni aibu kwa taifa letu

    Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa afuatiliwe sana kumjua vizuri zaidi.
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hili taifa ni zito sana aisee, kutoka kuwa na ndoto za kuwa rais hadi kugeuka kuwa mtalaam wa nyota jukwaani 😁

    Denis, what happened bro?😁
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mchezaji Clara Luvanda huwa haitwi timu ya Taifa ya wanawake

    Ukitegeme ndiyo mchezaji mwenye mafanikio kuliko wote Tanzania Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/clara-aweka-rekodi-ya-usajili-duniani.2470896/
  17. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Sheikh Abubakary Zubeir; Fungeni siku tatu kuombea taifa

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir, amewataka Waislamu Nchini kufunga kwa siku tatu kuanzia kesho hadi Jumamosi, huku wakimuomba Mwenyezi Mungu aliepushe Taifa na mabalaa na kulijalia mvua yenye kheri na baraka. Wito huo umetolewa kufuatia tahadhari za hali ya hewa, ambapo Mamlaka...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  19. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Siku CHADEMA tukichukua nchi nini tutafanya kwa taifa letu?

    Mara nyingi wananchi hasa watanzania wamekuwa na hamu sana kusikia au kujulishwa kuwa CHADEMA tukichukua nchi na kuunda serikali kama chama tawala nini tutafanya kwenye hili taifa. Kwanza kabisa wananchi watanzania watanufaika na uhuru wao na haki za binadamu. Kila mtanzania atakuwa huru kutoa...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia, Mamlaka ya Mwanamke na Somo kwa Taifa

    Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka. Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
Back
Top Bottom