The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii?
Tunaona katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, baadhi ya abiria na...
Anonymous
Thread
jukumu
kusimamia
taifa
vazi
vazi la taifa
wapi
yuko
yuko wapi
Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM.
Mimi naendelea kuwasikiliza hawa wadau wangu hapo kwa fundi viatu, nitaendelea kuwajuza
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongozi
viongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI
Taifa linaanza kuwapa stahiki ili hali hawajalitumikia Taifa ipasavyo.
Tunaomba katiba ibadilishwe katika kipengere hicho...
Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
awamu
awamu ya sita
ccm
hatari
hatari kwa usalama
kisiasa
kiuongozi
kuanzia
majaliwa
mgogoro
migogoro
mkubwa
nafasi
nchimbi
nchini
ndugai
taifa
usalama
usalama wa taifa
Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena!
Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu.
Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu.
Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele.
Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi itakayogusa maisha ya Watanzania wote, wakiwemo wakazi wa mijini na vijijini.
Dkt. Munisi...
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea.
1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29
2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70
Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba tunalipa kodi
Ila nilichogundua watanzania bado wapo gizani na wengi hawaelewi kwamba kuna kodi za aina...
Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭
Sheria zipo na hazimuogopi mtu.
Mtu mmoja...
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya watu wenye kimo kifupi nchini Sudan, inapambania ndoto yake ya kucheza Kombe la Dunia licha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
Timu hiyo inajiandaa kwa ajili ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu la Watu Wenye Kimo Kifupi 2026, linalotarajiwa kufanyika...
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kitengo maalum cha gereza kwa magaidi wa kipalestina waliohukumiwa kifo, kufuatia kupitishwa kwa sheria inayoanzisha adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa.
Kituo kilichopangwa kujengwa katika gereza lililoko katikati mwa Israeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.