The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Wana-JF,
Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye.
Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda,
Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
Utangulizi
Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII
Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002.
Mwaka 1984 tuliona mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania na Zanzibar,kama leo hatuitaki katiba...
Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii ya sita.
Hali imekuwa mbaya zaidi hadi kufikia kushuhudiwa mauaji ya watu wengi kwenye vurugu za...
Bila maamdano haki haipatikani.
Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po.
Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao.
Bila maandamano hatupati katiba mpya.
Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka...
Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?
Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika?
Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii?
Tunaona katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, baadhi ya abiria na...
Anonymous
Thread
jukumu
kusimamia
taifa
vazi
vazi la taifa
wapi
yuko
yuko wapi
Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM.
Mimi naendelea kuwasikiliza hawa wadau wangu hapo kwa fundi viatu, nitaendelea kuwajuza
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongozi
viongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI
Taifa linaanza kuwapa stahiki ili hali hawajalitumikia Taifa ipasavyo.
Tunaomba katiba ibadilishwe katika kipengere hicho...
Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
awamu
awamu ya sita
ccm
hatari
hatari kwa usalama
kisiasa
kiuongozi
kuanzia
majaliwa
mgogoro
migogoro
mkubwa
nafasi
nchimbi
nchini
ndugai
taifa
usalama
usalama wa taifa
Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena!
Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.