The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!!
Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...!
Lakini...
Mwanajamvi na mwana JamiiForum ulioko Afrika Mashariki...! Kijana ndio nguzo ya Taifa lolote dunia Je? Kijana wa Afrika Mashariki una nini juu ya taifa lako na pia watu wengine wanapenda kujua maoni yako unafikiri nini juu ya Taifa lako kama kijana na mwananchi wa taifa lako.
Vijana aka Gen Z...
Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema?
Je,
baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi...
Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa katika baadhi ya maeneo nchini.
ILA TANZANIA
Akizungumza Jijini...
Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali
Mimi...
Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa...
Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal?
Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026
Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius.
Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani.
Sheria isomeke...
Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma.
Je,
kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
Huu msemo unatufanya kufanyiwa ujinga mwingi kwa kisingizio cha amani ndio kinatupeleka taifa kubaya.
October 29 na yanayoendelea yanataka kuwekewa msemo huu ili kama hakuna lolote lijatokea wala wale sio watu.
Na huu msemo kwa sasa ndio unafanya njia ya kunyamazisha hata kama mwanaharamu...
Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga?
Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
Je,
Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama?
In fact,
Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir:
Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa?
Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
Nini maana ya uchawa?
- UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha.
-UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.
Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM
Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa.
Wanasema Dunia...
Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano
Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.