taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia, Mamlaka ya Mwanamke na Somo kwa Taifa

    Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka. Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Taifa

    Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi. Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kenya ni taifa lisio na watu wenye busara wanaiga na yapo ambayo siyo ya kuiga

    Hili suala la iga iga kila ujinga litakuja siku moja iangamiza kenya,walianza kwa kuparamia suala la Demokrasia Ikawafyeka wao wenyewe sasa naona wapo na xenophobia ya aina yake, #THIS IS QUITE NOT FAIR,KUFANYIANA HAYA SISI WANA AFRIKA YA MASHARIKI....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUKIRUDI KWENYE CHIMBUKO LA MFUMO HUU TUTAONA MAONO YA NYERERE HAYAKUWA KUMJENGA MTU BALI KUJENGA TAIFA LENYE UONGOZI UNAOWEZA KUTENDA

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  6. TANAPA

    JamiiForums Tanzania DKT. KIJAJI: MOTO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO WADHIBITIWA KWA ASILIMIA 90

    Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo. Akizungumza baada...
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wanunuzi wadogo Mgodi wa Msasa, Runzewe - Geita tunapata shida, mizigo haipuliziwi rangi kwa wakati, inakuwa hasara kwetu

    Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato. Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  9. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa sheria, mradi wa ubia ni mali ya umma kabla, wakati na hata baada ya utekelezaji wake. Lengo kuu ni...
  10. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Je taifa limekosa washauri, who are statecraftmen?

    Wanajamvi habari zenu, hongera kwa majukum mnayotimiza lakini pia poleni na matatizizo au shida mnazo kumbana nazo.Leo nitajaribu kuandika kwa kifupi mada yangu ili tuweze kuelimishana na kujuzana alafu mwisho tunaweza kufikia muafaka. Nchi yetu imepitia na bado unaendelea kupitia wakati mgumu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Lupita: Tathmini ya kisheria na onyo la kinabii la Nyerere na Ndugai kuhusu ‘kuuzwa’ kwa Taifa

    Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper, limeibua mjadala mzito na hisia kali nchini Tanzania. Ingawa Wizara ya Ardhi ilifanya jitihada za haraka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia teknolojia ya mionzi kuchapisha taarifa katika tabaka kwenye kitambiulisho cha Taifa

    Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
  13. TANAPA

    JamiiForums Tanzania TANAPA yanyakua tuzo 6, hifadhi za taifa zazidi kutikisa ramani ya utalii duniani

    Na. Jacob Kasiri - Zanzibar Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kung’ara katika ulingo wa sekta ya utalii Duniani baada ya kushinda tuzo sita za World Travel Awards (WTA) 2026, ushindi uliotangazwa Agosti 28, 2026 katika hafla maalumu iliyofanyika usiku ndani ya Hotel ya...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

    Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!! Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  19. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Je, tunaepuka vipi kifo cha Utambulisho wetu kidijitali? Uchambuzi - barabara na reli hazitatoshi kulinda Taifa.

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  20. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
Back
Top Bottom