timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

    Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira. Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya kuipatia mafanikio makubwa sana timu ya taifa, mwenzake huku anafurushwa. Kwasasa Portugal itakua timu...
  3. TADPOLE

    JamiiForums Tanzania Karia na wenzako kama hamuwezi scouting ya timu ya Taifa ya kupata Professional players nipeni tender niwaletee wachezaji Quality wakitanzania

    Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!! Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samatta arudishwe timu ya taifa.Astaafu baada ya AFCON.

    Hatuna vipaji ambavyo vitufanye tuone sawa tu mchezaji wa ligue one Mbwana Samatta astaafu kuchezea timu ya taifa huku kuna mashindano ya AFCON. Aombwe arudi ,aje astaafu baada ya AFCON, mchango wake bado unahitajika.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mchezaji Clara Luvanda huwa haitwi timu ya Taifa ya wanawake

    Ukitegeme ndiyo mchezaji mwenye mafanikio kuliko wote Tanzania Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/clara-aweka-rekodi-ya-usajili-duniani.2470896/
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya Soka ya watu wafupi nchini Sudan yajiandaa kwa Kombe la Dunia 2026

    Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya watu wenye kimo kifupi nchini Sudan, inapambania ndoto yake ya kucheza Kombe la Dunia licha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo. Timu hiyo inajiandaa kwa ajili ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu la Watu Wenye Kimo Kifupi 2026, linalotarajiwa kufanyika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanachopitia Chadema hakina tofauti na Mkoloni alivyowahi kuiminya Tanu kiuchumi mpaka timu ya Tanu (Yanga) ikawa inacheza mgongo wazi kwa kukosa jezi

    Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe. utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa waziri Makonda: Fuatilia michezo ya Jumuiya ya Madola genji inatia udhaifu timu ya taifa ya riadha

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha ambao hawana kazi ingine yoyote zaiid ya kukimbia, na uboreshaji wa miundombinu mbalimbali na...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Yanga, timu ya ushindi haibadilishwi. Waendelee hadi waboronge.

    Ni demokrasia kweli kwenye michezo, lakini timu inayoshinda kocha haipangui bila sababu za msingi. Naogopa kuibadilisha safu ya uongozi wa Yanga uliotutelea makombe kwa miaka 5 mfululizo, maana present is known and secure. Tusije tungaingiza migogoro ndani kwa mikono yetu wenyewe.
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo, Julai 11, 2026

    Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. R.I.P Jayden Adams For English Speakers South...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mapacha wanaongooza timu ya Misri Kombe la Dunia 2026

    Mapacha wanaofanana, Hossam na Ibrahim Hassan, wanaandika ukurasa mpya wa kihistoria katika soka la Misri. Sasa wakiwa kama kocha mkuu na mkurugenzi wa timu, ndugu hawa wameiongoza timu ya taifa ya 'Pharaohs' kupata ushindi wao mkubwa na wa kwanza kabisa katika michuano ya Kombe la Dunia, na...
  12. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo timu ya Maridhiano kama kutakuwa na maridhiano

    Hawa wawepo ndiyo kutakuwa na maridhiano ya kitaifa.
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya TRA inanuka Simba, haifai kuhamasisha ulipaji kodi

    Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
  15. onemediaonline

    JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali yampitisha Gamondi timu ya Taifa

    #onemediaupdates🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

    Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao. Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha...
  17. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza na timu ya wataalamu Wizara ya Maji kupita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa Maji

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
  20. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Yanga nayo ni timu ya machawa

    Msigwa kaharibu shughuli yote raia wamechukia sana
Back
Top Bottom