Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

Kimalingano

JF-Expert Member
Mar 27, 2023
422
524
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.

Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;

1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.

Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bungeni na kuwa sheria.

Naomba kuwasilisha.
 
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.

Naomba kuwasilisha.
Hangaika na maisha yako dogo
 
Waweza toa sababu za kwanini wewe usiwe mama wa Taifa
 
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.

Naomba kuwasilisha.
Punguani wahed.
 
Amefanya kazi gani mmam wetu huyu

Kuna mtu leo kanipa elimu kidg sana ya katiba nakagundua kuwa Samia hakustahiki kuwa rais alipazwa kubaki na unakamu wake tu Hadi amalize ,hiz lawana. Anatupiwa CD F mabeyo kwa kushindwa kuelewa katiba inasemaje ,kumbe cdf Hana elimu Bora ya Katiba ndio maana Samia Ni rais kwa sababu zake Wala siyo katba imemuweka amewekwa kwa matakwa ya cdf asiye na ufahamu sahih na Mambo ya kikatiba na sheria
 
Mama yako mzazi unamtambuaje? punguza ujinga, Mnaishi dhama za slave
 
Huyo kakupotosha sana.Katiba Iko wazi mno kwenye jambo hilo.
Amefanya kazi gani mmam wetu huyu

Kuna mtu leo kanipa elimu kidg sana ya katiba nakagundua kuwa Samia hakustahiki kuwa rais alipazwa kubaki na unakamu wake tu Hadi amalize ,hiz lawana. Anatupiwa CD F mabeyo kwa kushindwa kuelewa katiba inasemaje ,kumbe cdf Hana elimu Bora ya Katiba ndio maana Samia Ni rais kwa sababu zake Wala siyo katba imemuweka amewekwa kwa matakwa ya cdf asiye na ufahamu sahih na Mambo ya kikatiba na sheria
 
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.

Naomba kuwasilisha.
SSH ni MwanaMama shupavu na madhubuti, Rais na PHd Dr. msikivu sana, makini, mwenye maono, hodari na mahiri sana anaekubalika mno, kitaifa na kimataifa katika kazi za kisiasa, kiuchumi na kijamii duniani kote...
 
Huu ugonjwa wa UZOMBI uzuiwe haraka hapa nchini. Mafunza yanakula sana maubongo ya machawa. Watu siku hizi ni kama wako kwenye AUTOPILOT MODE.
 
Huu ushenzi ndio huwa unafanya hata nisimsikilize madam Air hostess maana inaonekana amezungukwa na wapuuzi puuzi kila sehemu hali inayopelekea upuuzi wake pia kunawiri. Misery loves Company
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom