Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali.

Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha Mlandizi to Morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango la kuingilia na kutokea Dar.

====

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.

Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.
 
Kuna ajali mbaya sana imetokea mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. l

Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha mlandizi to morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango la kuingilia na kutokea dar.


Hii barabara ku drive ni kero sana
 
Newforce, sauli na chuma ya mafuta ya rwanda zimewaka moto zote tatu
1711610445510.png
 
Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...

Stupid bus drivers
 
Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...

Stupid bus drivers
Sema yote, lkn hii barabara ikipanuliwa kutapunguza ajali kwa zaidi ya 60% na hilo lipo wazi, any sensible person can see it
 
Back
Top Bottom