Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha ambao hawana kazi ingine yoyote zaiid ya kukimbia, na uboreshaji wa miundombinu mbalimbali na...
Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo.
Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi.
R.I.P Jayden Adams
For English Speakers
South...
Ndugu wa Tanzania
Asante sana kwa wakati wote tuliopambana pamoja katika wakati mzuri na ule uliotufunza.. nimejivunia utanzania wangu popote duniani nilipojaaliwa kufika.. nimefurahia vipindi vyote nilipopata nafasi ya kuvaa jezi ya timu yangu ya taifa nimejaribu kadri niwezavyo kupambana...
Kiungo wa Senegal Pape Gueye amechapisha ujumbe kwenye insta story yake akiweka wazi kutitoa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal hadi benchi la Ufundi litakapofanyiwa mabadiliko.
"Nitarejea baadae kuwaambia maneno machache kuhusu kutolewa kwetu, lakini leo natangaza kwamba ikiwa benchi...
Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia. Kiasi kikubwa cha vifaa vya timu kimeibwa Kansas City, Marekani, wakati vilipokuwa vinasafirishwa kutoka Florida kwenda kambi yao ya mazoezi.
Vitu vilivyotajwa kuibiwa ni pamoja na:
• Viatu vya...
BREAKING NEWS…!!
SERENGETI BOYS WAVUNJA KAMBI NA VILIO KIBAO
Timu ya Taifa ya Soka ya U17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imevunja kambi yake leo pale Tiffany Diamond Hotel huku wachezaji wakitakiwa kuripoti kambini tarehe 4 Julai 2026 kwajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa U17...
Hakika ndio mana Legend wa timu ya taifa ya England Jamie Caragher aliwahi kusema japo alitukanwa matusi yote Duniani kua mashindano ya CAF ni mashindano madogo.
Hilo limedhihirika siku ya leo baada ya maamuzi ya kushangaza na mabovu kua eti Senegal sio mabingwa wa CAF, wanyang'anywe kombe lao...
#onemediaupdates🇹🇿
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao.
Tuzo hiyo...
Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.
DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa...
Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda
Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno
Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000...
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata...
Egypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF.
....and the list goes on.
Morocco - Timu ya Taifa bora, vilabu bora CAF.
NB: Tunapozungumzia timu za Taifa na ubora wao tunamaanisha world cup...
Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
Crescentius Magori, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, ametoa ufafanuzi muhimu kuhusu mchakato wa kubadilisha uraia ili wachezaji waweze kucheza katika Timu ya Taifa ya Tanzania.
Kupitia ujumbe, Magori amesisitiza kuwa wachezaji wenye uraia wa nchi mbili wanapaswa kukidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.