ndumbaro

Damas Daniel Ndumbaro (born in Songea) is an academician and a politician who presently serves as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Songea Urban constituency for the second term since 2015. Also was the acting Chief Executive Officer of the Tanzania-Zambia Railway Authority since March 2013. He was the an Advocate and a Lecturer of law at the Open University of Tanzania before joining politics and won a majority vote election in Songea Urban constituency under the ruling party CCM. After being appointed by President John Magufuli, he's currently the deputy minister of Foreign Affairs and East African Cooperation. [1]

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

    Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao. Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku...
  2. Heparin

    ACT Wazalendo: Ukanusho wa Msemaji wa Serikali hautoshi, Waziri Ndumbaro awajibishwe

    Chama cha ACT Wazalendo kinaitaka mamlaka ya uteuzi kumwajibisha waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro kwa kauli ya kuweka marufuku kwa mashabiki wa timu pinzani zinazotoka nje ya nchi kuvaa jezi za timu zao zitakapocheza dhidi ya timu za Yanga na Simba katika hatua ya robo...
  3. KakaKiiza

    Waziri Ndumbaro usitume watu kukusafisha, jisafishe mwenyewe!

    Katika Siku za hivi Karibuni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh Damas Ndumbaro alitoa tamko akiwasii watanzania kuwa na uzalendo kwa timu zao kama tunavyoona nchi za wenzetu zinavyofanya utanguliza uzalendo kwanza! Tofauti na hapa kwetu ambapo tumeshuhudi timu pinzani hasa Simba na...
  4. GENTAMYCINE

    Taifa lingekuwa na Watu makini Kauli ya Kipumbavu ya Waziri wa Michezo Dk. Ndumbaro ilipaswa sasa awe Ameshajiuzuru kabisa

    Ila lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
  5. M

    Serikali: Ndumbaro alikuwa anatania tu kuhusu zuio la Jezi

    “Alichozungumza Mheshimiwa Waziri wa Michezo Dkt.Ndumbaro alikuwa anahamisha Uzalendo wa timu zetu na katika lugha zetu za michezo waandishi wa michezo tunafahamu, mimi niliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) sisi tukizungumza 80% utani, 20% tunazungumza vitu...
  6. JanguKamaJangu

    Msemaji wa Serikali: Suala la mashabiki kukaguliwa ‘Passport’, Waziri Ndumbaro alikuwa anatania

    https://www.youtube.com/watch?v=xyOZfGov2YA Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na Wanahabari, leo Machi 24, 2024, mada Miaka Mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. KUHUSU KAULI YA WAZIRI NDUMBARO Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi...
  7. Stuxnet

    Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB. Sababu zangu ni hizi:- 1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato 2. Mwaka jana akiwa...
  8. Pdidy

    raisi mtengeue NDUMBARO

    Mh RAIS SIKUTARAJIA MPAKA LEO HII NDUMBARO KUWA WAZIRI OMBI KWA WANAMICHEZO MTENGEUE HUYU BWANA ANA MAZOEA MABAYA KWANZA ALISHATUMBULIWA AKIWA TFF AJABU MNANGANGANA NAE SIJUI KAWAFQBYIA NN USIKU.WE.A
  9. Melubo Letema

    Dr. Ndumbaro Remove the whole Executive Committee of entire Tanzania Olympic Committee (TOC) are Corrupted since 2002.

    Honorable Minister, we would like to put it in your attention existence of the following facts; 1. That, since 2002 Tanzania Olympic Committee’s current top leadership has been in power untouchably and since then Tanzania has never gained a single Olympic Games Medal. 2. That, since 2002 there...
  10. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: Ndumbaro kutumbuliwa: FiFa huenda ikaifungia Tanzania

    Kauli ya Waziri wa Michezo Ndugu Ndumbaro kuagiza wananchi watakao-vaa jezi ya Mamelodi au ya Al ahly wakamatwe na kupelekwa polisi ama waingie kwa Passport imeleta sintofahamu. Chama cha Soka CAF kimepenyezewa habari hii na huenda kama kawaida wananchi watakao ingia na jezi hizo watakamatwa...
  11. Heparin

    Waziri Ndumbaro kama kweli wewe ni Mzalendo, kataza Nguo za Rais Samia uwanjani, amuru mabango ya kumtukuza Rais Samia na CCM yasikanyage uwanjani

    Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
  12. kavulata

    Tumuunge mkono Waziri Ndumbaro kwenye uzalendo wa kuvaa jezi

    Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa zenyewe zinapokutana timu za kigeni. Huu ni utamaduni/utani wa jadi ni mbaya sawa na utamaduni wa...
  13. J

    Ndumbaro analeta uzalendo wa Kimagufuli kwenye mpira; haendani na falsafa ya Samia

    Huyu Waziri wa michezo kutumia jeshi la polisi kulazimisha watu wasishabikie timu zao kwa uhuru ni uzalendo wa kishamba uliopitwa na wakati. Waziri huyu haendani na falsafa ya Rais Samia ya uhuru na utandawazi, haelewi kwamba kuna watanzania wengi wanafuatilia pia ligi za nje siku hizi na mtu...
  14. Greatest Of All Time

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  15. Erythrocyte

    Fitna za Ndumbaro zamuondoa Katibu Mkuu wa CHANETA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote . Timu za Netball haziwezi kuendeshwa kwa hela za mfukoni za viongozi wake wakati Wizara ya michezo...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Uwanja wa CCM Majimaji Kufanyiwa Ukarabati

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: UWANJA WA CCM MAJIMAJI KUFANYIWA UKARABATI Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi mashine mbili za kukatia nyasi katika uwanja wa mpira wa miguu wa CCM Majimaji kwa uongozi wa chama hicho Mkoa wa Ruvuma...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  18. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  19. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Michezo wa Malya Uko Pale Pale

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara anayoiongoza itaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Michezo katika Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza kama ilivyopanga. Dkt. Ndumbaro amesema hayo Novemba 6, 2023 Bungeni Jijini Dodoma...
Back
Top Bottom