Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria.
Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
Habari wana jukwaa.
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Mimi binafsi bwana Endasak, sijawahi kumuelewa Msemaji wa Serikali ya Tanzania. Hivi karibuni ameonekana akizungumza kuwa wanachi waaamue wenyewe kuwasikiliza wanawahamasisha kufanya kazi wapate hela (Rais na viongozi wengine) au...
Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini.
Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ.
Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa CCM.
Mambo anayozungumza ni kujibia CCM.
Huyu Jamaa hua nashindwa kuelewa maana naona kama ana kua msemaji wa CCM..
Hivi hadi Michango ya Tone Tone ya CHADEMA anaiongelea yeye kama nani?
Au mimi sijui vizur kazi yake ina extend hadi wapi?
Mnisaidie watu wa political sayansi.
Mi najua msemaji wa serikali anajibu au anatoa taarfa tu...
Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba.
Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa.
Anaweza kuitisha vyombo vya habari na tunajua ukiitisha lazima uwalipe posho.Je hizo pesa anapata wapi.
Kuwa na kikundi chake cha mbwa...
Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Sanaa,, Utamaduni na Michezo, ameshindwa kiaina kujibu tuhuma nzito alizotoa CAG Mstaafu Prof Mussa Assad juu ya Waziri mmoja kijana mwenye ukwasi wa kutisha, alioupata ndani ya miaka mitano ndani ya serikali.
Jibu la Msemaji...
Nimeumia Waziri ameunda kamati ya uchunguzi wa tatizo
Msemaji wa serikali anasema umeme wa Taifa ni sawa wa nyumbani kwetu Reali ukikatika inazima lulu?
So so so stupid
Msigwa kaa chini sio kila kitu una majibu, aliyemwambia behewa au mabehewa yanaenda Dar Dodoma kuna shida Raia wanachunguza...
Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kusitishwa kwa safari za treni kati ya Morogoro na Dodoma hakutokani na kuharibika kwa reli bali ni hatua za kitahadhari ili kudhibiti tishio la mito iloyojaa isiharibu miundombinu hiyo.
Akizungumza na Ayo Tv leo kwa njia ya simu...
Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia?
Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Twitter (X) itafunguliwa pale ambapo tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania.
Akizungumza na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa madai kuwa aliwapongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa ni upotoshaji.
Pia Soma: Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara Serikali hufanya mazungumzo na viongozi wa dini pale inapobaini kuwa mambo hayaendi vizuri.
Msigwa...
Serikali imekanusha madai yanayodai ongezeko la ukandamizaji wa kisiasa nchini humo, huku taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akijibu ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch (HRW), Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema madai hayo...
Cde Gerson,
Mimi ni miongoni mwa wadau wako KABISA toka MOYONI. Nilianza kukuona kwamba wewe ni kijana mahili kipindi ukiwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
Sasa ukiwa mratibu mkuu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali - nashauri ukitokea upotoshaji wowote kama huu wa TAL kwamba anataka...
wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika...
Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na waandishi wa habari leo Juni 11, 2025 saa saba na nusu mchana..... ngoja tusubiri kusikia boko litakalotoka kwa serikali leo... Rais alijishikilia kweli juzi na jana, leo watakuwa wanaangusha bomu.
===========================
Msemaji Mkuu wa...
Hii ni nukuu muhimu iliyotoka kwa msemaji wa Serikali nchini Tanzania.
Kwenye chaguzi zetu wanasiasa huwa wanatumia wasanii mbalimbali hususani wanamuziki kuvutia watu wafike kwenye mikutano na kusikia sera..
Wengi hufika kusikia na kuwaona wanasanaa wa muziki hivyo kwetu Tanzania Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.