music

  1. F

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa Uzi tayari.
  2. leroy

    Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
  3. sinza pazuri

    Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  4. mike2k

    Kwanini ghafla nimeanza kuupenda mziki wa Congo

    pichani ni ngoma kali nilizozisikiliza zaidi 2023. Katika miaka ya hivi karibuni, nimekuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Kikongo, haswa kazi za Ferre Gola na Fally Ipupa. Walakini, hivi karibuni nimegundua kuwa nimevutwa na muziki wa Kilingala. Sijui ni nini kuhusu aina hii ya muziki ambayo...
  5. BoyOfGod

    MSAADA: Ninatafuta music producer anishike mkono

    Habari wakuu! Mimi ni kijana mwenye mapenzi na mziki. Nimebobea kiasi kuandika nyimbo za dini na kwa sasa nimefocus pia (bado najifunza) kwenye production (kutengeneza beats), japokuwa sina vifaa zaidi ya pc tu.(najitafuta) Kwa vile jamii forums kuna watu wa aina tofauti ninaomba kama kuna...
  6. A

    Beginner | Noob & Pro: Fl Studio Music Production

    Gwala kwa wana Jf, nawapa salamu wadau wa mziki. Lengo la uzi huu ni kuwakutanisha wadau, wapenzi na waandaaji wa Muziki kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania ambao wanatumia DAW-Digital Audio Workstation ya Fl Studio ambayo hapo awali ilikuwa ikifahamika kwa jina la Fruity Loops. Hapa kutakuwa...
  7. tpaul

    Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

    Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
  8. Nukta5

    Wimbo wa Mr. Blue ft Lady JD Sema haupo katika platform zote za music

    Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda kuweka kazi zake huko?
  9. Krikichino

    Kwanini Tanzania Hatuna Music Charts Zinazoeleweka Kama Billboard Hot 100? Tunakwama Wapi

    Kama unafuatilia muziki kwa umakini utabaini kwamba Bongo hamna music chart ya kueleweka, the likes of Billboard. Hapa Bongo kila kituo kina charts zake. Clouds ina Clouds FM top 30, EA Radio ina za kwake na vituo vingine vingi. Ubaya wa charts hizi ni kwamba hazina uhalisia. Zina upendeleo na...
  10. B

    Kwanini Redio za zamani zina music mzuri na spika tulivu kuliko hizi za kisasa?

    Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya. Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi. Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems. Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au...
  11. Fortilo

    Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  12. cleokippo

    Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

    Habar za usiku wananzengo!! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
  13. leroy

    Nishauri juu ya TV na Music System

    Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system. Lengo niviweke Master Bedroom. Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia. Kwenye TV preference zangu ni true color quality (Ikiwezekana 8k) na kwenye sound system ni mtetemesho. Natanguliza shukrani
  14. HERY HERNHO

    Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
  15. GENTAMYCINE

    Haya Mashabiki Wenzangu wa Rhumba na Congo Music Fally Ipupa kaachia Rhumba Kali la MAYDAY

    Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY. Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
  16. I

    Best 6 Ways to Enjoy Music and Learn From It

    Music has the power to transport us to another world, evoke emotions, and connect us with others. While it can be enjoyed purely for its entertainment value, music can also be a valuable tool for learning and personal growth. In this article, we'll explore six ways to not only enjoy music but...
  17. L

    Tuzo za Muziki "Tanzania music Award" hazina mvuto kabisa,Diamond Ana haki kuzikataa

    Wakuu, Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa. Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa #nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
  18. beatboi

    Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  19. Mr SGR

    Tamaduni music

    Short thread! Wadau nimezikumbuka sana ngoma za Lunduno zilizokusanya wasanii wengi sana rappers katika movement ya Tamaduni music 2005-2015. Ngoma zao nyingi zilikuwa zinatoa darasa na kumpa mpambanaji hope kubwa katika kupambana. Wasanii manguli kama Nikki mbishi, One the incredible...
Back
Top Bottom