ramadhani

Ramadhani may refer to the following people

Given nameRamadhani Athumani Maneno, Tanzanian politicianSurnameJohn Ramadhani (born 1932), Tanzanian Anglican archbishop
Nabeel Siddiq al-Ramadhani (born 1954), British businessman
Nia Ramadhani (born 1990), Indonesian actress, singer, rapper, and dancer
Samson Ramadhani (born 1982), Tanzanian marathon runner
Sara Ramadhani (born 1987), Tanzanian long-distance runner
Waso Ramadhani (born 1984), Burundian football defender

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Colonel (rtd) Haruni Ramadhani Kondo : Alama za Anguko la CHADEMA / Signs of CHADEMA's Collapse

    27 September 2026 Colonel (rtd) Haruni Ramadhani Kondo : Signs of CHADEMA's Collapse https://m.youtube.com/watch?v=a8mEesJHed4 Dk. Kanali mstaafu Ramadhani Kondo anakichambua chama bila bias (ushabiki)/ bali kisayansi chama kikuu cha upinzani, kususia uchaguzi Oktoba 2025, kukamatwa kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustin Ramadhani aliwahi kusema kesi zote huwa zinaendeshwa sehemu mbili, Mahakamani na nje ya MAHAKAMA

    Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA. Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19ak Tundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje? Tundu Lissu: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Maduhu: CDF Jacob Mkunda,IGP Camillius Wambura Na DCI Ramadhani Kingai Na Utetezi Dhidi Ya Kesi Ya Uhaini Inayomkabili Mhe Lissu

    Mtambuka tarehe 21 Agosti 2026 Mahakama kuu masijala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dastani Ndunguru ilimkuta mhe Lissu na kesi ya kujibu kwenye kesi yake ya uhaini inayomkabili. Soma pia: Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kandauma: 2030 kutakuwa na Ramadhani mbili , Ila ni dalili ya Kiyama

    https://www.instagram.com/reel/DZutAh-I5Hn/?igsh=b3U0MnRmd3J2M3M0
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran kiboko, anapigana ramadhani

    Wakiristo hawawezi kabisa kupigana huku wakiwa wamefunga..
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwa Zanzibar ni nchi ya kidini, kwa nini wapiga urabu kwenye Ramadhani wakamatwe?

    Zanzibar ni nchi yenye watu wenye Tamaduni na Imani mbalimbali ikiwemo Waislamu na Wakristo. Kuweka katazo la unywaji pombe au uuzwaji pombe ni kuingilia faragha za watu. Kama biashara ya mtu haikubuguzi au unywaji wa mtu hausumbui watu wengine kwa nini mtu anayekunywa pombe Ramadhani akamatwe...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza. MY TAKE; Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  12. B

    JamiiForums Tanzania Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  14. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Ramadhani kareem

    Ramdhani kareem
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katika Imani, Je, mtuhumiwa uhalifu alie gerezani mahabusu anaruhusiwa kufunga kwarema au ramadhani?

    Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao. Je, ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bei za vyakula masokoni huongezeka sana wakati wa Ramadhani?

    Ni kawaida sana kila ikifika mwezi wa Ramadhani huwa kunatokea mabadiliko ya bei za vyakula kuongezeka kwa kasi hasa maeneo ya mjini. Nini hasa husababisha kuongezeka huku kwa bei za vyakula vingi nyakati za mfungo wa mwezi wa Ramadhani?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhani

    Wakati wa Ramadhani, Waislamu wenye afya njema hufunga kuanzia alfajiri hadi machweo, lakini watoto, walemavu, wasafiri, na wale walio wagonjwa wa kimwili au kiakili au wajawazito hawaruhusiwi. Mfungo huo, ambao ni moja ya nguzo tano za Uislamu, unajumuisha kujiepusha na chakula, vinywaji...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Uingereza na Kwengine

    https://youtu.be/O2f1eKISpy8?si=V5wnjV3iy7h25gH3
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CHAPUTA waonywa mwezi wa Ramadhani

    CHAPUTA wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo katika mwezi mtukufu kwani itakuwa sawa na kushinda njaa. Tuwaombe viongozi wao wa kitaifa na kimikoa kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao
  20. adriz

    JamiiForums Tanzania Ramadhani imeshaingia zile nyuzi zimeshaanza

    Moja kwa Moja.. Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii 👇👇 halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya...
Back
Top Bottom