lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa Ardhi Lindi: Wananchi Muhimbili Juu tunadhulumiwa maeneo yetu bila kupata msaada wowote

    Habari, Wananchi wa Mtaa wa Muhimbili Juu, Kata ya Rasibula, Manispaa ya Lindi, tunataka kunyang’anywa ardhi yetu katika mgogoro ambao umedumu tangu mwaka 2022. Mtu anayejulikana kwa jina la Kahawa kavamia maeneo yetu. Katika utatuzi wa awali, ilipendekezwa kuwa atufidie wananchi au...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni zama za ukweli na uwazi. Ukweli ni kuwa Lindi na Mtwara ni mahali pabovu kwa malezi ya mtoto wa kike

    Mabinti ni kama wanaandaliwa kuwa vitendea kazi vya starehe. Karibia Kila binti kazalia nyumbani Karibia Kila binti hafiki hata form 2 Ndoto ya kila binti ni kuchezewa ngoma tena ngoma nyingine za kumfundisha utupu na ufuska Utupu na Ngono ndio motisha ya mabinti hawa Binti akionesha nia ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi FC yaianza shimiwi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi

    KILIMANJARO Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyunba na Maendeleo ya Makazi (Ardhi Fc) imeanza vyema Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Lindi

    Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi Msaidizi Msajili wa hati (kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wataalamu kutoka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Lindi yatakiwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa hati ya ardhi Kampasi ya UDSM - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania e- Ardhi kusaidia watendaji sekta ya ardhi Lindi kutoa huduma kwa haraka

    LINDI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendela na mafunzo ya siku nane ya mfumo mpya wa kidijiti wa e-Ardhi mkoani Lindi huku mfumo huo ukielezwa kusaidia watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa huo kutoa huduma kwa haraka pamoja na kupunguza urasimu kwa wananchi. Akizungumza...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa na ofisi Shule ya Msingi Mkwajuni - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Lindi: Alli Hamisi Mbelenje (30) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane Hukumu hiyo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Serikali ichunguze kwa kina kiwanda cha Lindi graphite technology.

    Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
  11. TPPB_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd

    Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd Location: Lindi Region, Tanzania Employment Type: Full-Time Hands-on experience in: Compressed Natural Gas (CNG) compressors and high-pressure gas systems. Compressed Natural Gas...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Ushirika Lindi: Wakulima wa Ufuta wamelipwa, mwenye changamoto ya malipo awasiliane nasi

    Baada ya hoja ya Mdau , kuandika Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Lindi hasa Kilwa wafanyakazi wake wanazungusha malipo ya Wakulima ufafanuzi umetolewa na mamlaka zinazohusika: Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Lindi Mwambao Ltd anapenda kuwataarifu Wakuliwa na wadau wote...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Exchange request!

    Habari! Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo idara ya elimu sekondari kwa masomo ya mathematics. Aje Lindi - mtama nije geita. Asante!
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

    Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
  16. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  17. PaulV

    JamiiForums Tanzania Afisa nyuki njoo Lindi tubadilishane nije Moro,singida,dodoma,mbeya,pwani,arusha,kilimanjaro,iringa,tabora,mwanza,geita,kagera,simiyu au mara fanya PM

    Wakuja Lindi kada Afisa nyuki tuwasiliane wakuu
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji katika manispaa ya Lindi

    Kumekuwa na changamoto ya maji kutotoka katika manispaa ya mji wa Lindi katika maeneo mengi haswa Lindi Mjini, Ng'apa, Mchinga, Mitwero. Na ni zaidi ya wiki moja sasa bila maeneo haya kupata maji. Maeneo haya ni maeneo muhimu kama sehemu za mjini kati, lakini pia yana sehemu muhimu kama...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Nachingwea – Lindi tukidai fedha za kujikimu tunatishiwa kuhamishiwa Zahanati za Vijijini

    Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa. Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (LINDI) ni mbaya na haifai kutumika, Waziri aje aione

    Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai kwa matumizi ya kiangazi hata masika. Kibaya zaidi mamlaka inalitambua hili tokea Mwaka 2023, ila...
Back
Top Bottom