uwt taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    UWT Taifa Wawafikia Waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Kilombero (Ifakara) Kuwapa Msaada wa Kibinadamu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya UWT Taifa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru wamefika Wilaya ya Kilombero kutoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Miongoni mwa viongozi...
  2. Ojuolegbha

    Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  3. Ojuolegbha

    Mwenyekiti UWT Taifa Mary Chatanda msibani Lindi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
  4. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Utekelezaji Baraza Kuu UWT Taifa Wanolewa Kuhusiana na Sera ya Jinsia

    🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA 📍Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), wameshiriki semina ya masuala ya Sera ya jinsia. Leo Tarehe 19 Februari, 2024. Semina...
  5. Stephano Mgendanyi

    Tuzo za Pongezi kwa Viongozi wa UWT Taifa

    TUZO ZA PONGEZI KWA VIONGOZI WETU WA UWT TAIFA Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) tarehe 01 Disemba 2023 wamepokea Tuzo za Pongezi kutoka kwa Viongozi wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuwapongeza...
  6. Stephano Mgendanyi

    Tabora: Mbunge Jacqueline Kainja katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa Ndg. Jokate Mwegelo

    Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga. Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate Katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa, Jokate Mwegelo

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mkutano wa Majumuisho Katika Ziara ya UWT Taifa Mkoa wa Geita

    UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
  9. Roving Journalist

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amtaka DED Busega ajitafakari

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo. Chatanda amesema kuwa amesikitishwa na namna ya utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo ambavyo hauko vizuri kwenye Halmashauri hiyo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Uongozi UWT Taifa Wanena Mazito "Bahati Ndingo Apewe Kura za Kishindo Jimbo la Mbarali"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiambatana na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari wakimuombea kura Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya Bahati Ndingo katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Ubaruku. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ,Mwenyekiti Chatanda amewaomba...
  11. Stephano Mgendanyi

    Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Kaliua

    MWENYEKITI UWT AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA KALIUA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda Ametembelea Hospital ya Wilaya ya Kaliua na kuridhishwa na Ujenzi wa Hospital hiyo ambapo ametoa wito Kwa Wananchi na Viongozi kuishi vizuri na...
  12. Stephano Mgendanyi

    Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Kasi ya Maendeleo Jimbo la Manonga, Wampongeza Mbunge Gulamali

    UONGOZI UWT TAIFA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA MANONGA UWT Taifa Washambulia Kata 8 Jimbo la Manonga na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa Bi Asya Ali Khamis Atembelea Jimbo la Manonga Kata ya Choma katika Ziara ya Kukagua Miradi...
  13. Stephano Mgendanyi

    UWT Taifa Wafanya Ziara ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Igunga

    IGUNGA: "UWT TAIFA WAFANYA ZIARA YA KISHINDO, WANANCHI WASEMA ILANI INATEKELEZWA KWA VITENDO" Habari Picha: Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainab Shomari (MNEC) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti kwenye Mikutano ya kuongea na Wanachama wa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Taifa, Mary Chatanda afurahishwa na kikundi cha Wanawake wanaofuga Ng'ombe

    MWENYEKITI UWT TAIFA NDUGU CHATANDA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KIKUNDI CHA WANAWAKE WANAOFUGA NG'OMBE WILAYANI MKALAMA Mwenyekiti wa UWT Taifa ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa na utekelezaji wa mradi wa kikundi Cha wanawake Tunza kilichopo Mkalama Mkoani Singida ambacho kimenufaika na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  17. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Eng. Fatma Rembo - Mjumbe wa UWT Taifa Mkoa wa Iringa

    ZIARA YA ENG. FATMA REMBO - MJUMBE WA UWT TAIFA MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Eng. Fatma...
  18. Ojuolegbha

    Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
Back
Top Bottom