michezo

 1. 1

  Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

  Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
 2. Tlaatlaah

  Kuelekea 2025 Chama cha Mapinduzi na Michezo Nchini

  Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
 3. K

  SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

  Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
 4. Mturutumbi255

  Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

  Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
 5. GENTAMYCINE

  Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

  Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
 6. blueskycargo_

  Ofa kabambe kwa wafanyabiashara wa vifaa vya michezo na jezi original

  Wafanyabiashara wa vifaa vya michezo, tunayo furaha kubwa kuwafahamisha kuwa sasa tuna msambazaji (Supplier) wa jezi original zenye ubora wa hali ya juu kutoka timu mbalimbali maarufu za Ulaya na duniani kote. Hii ni fursa ya kipekee ambayo hutakiwi kuikosa! Jezi ni za kiwango cha kimataifa...
 7. uhurumoja

  Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

  Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje ni gari tupu ============= Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume Esther Chabruma...
 8. A

  Serikali inatenga bajeti kubwa michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA ya nini wakati haiendelezi zaidi wenye vipaji?

  Nauliza kwa sasa tunaona UMISETA na UMITASHUMTA unafanyika, serikali imetenga fungu lakini matokeo yake ikifika hatua ya kitaifa yaani mfano tumepata vijana kikosi cha taifa kwenye football, volleyball, netball, basketball, handball, matokeo yake hawaendi popote wanarudi tu makwao! Maana yake...
 9. 100 others

  Video: Waziri wa Michezo akionyesha Vijana Namna ya kusakata kabumbu

  Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono. Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika. Minister Of Sports Uganda.
 10. Mjukuu wa kigogo

  Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo ⚽

  Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi. Najutia sana
 11. Kidaya

  SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

  Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini Uingereza, sekta ya michezo inakadiriwa kuchangia kiasi cha Tsh. trilioni 110.9 kwa mwaka kwenye pato la...
 12. lugoda12

  Utofauti wa Simba na Liverpool

  Utofauti wa Simba na Liverpool ni mmoja tu, Liverpool anacheza CHAMPIONS LEAGUE na Simba anacheza CONFEDERATIONS CUP ila zote zipo nafasi ya 3 katika ligi zao! ✍🏾
 13. Saint Ivuga

  Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

  Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
 14. Extrovert24

  Michezo ya leo NBC premier league, timu zipi zitaenda CAF champions league au CAF confederation

  Wakuu habari za asubuhi, Leo Kuna Mechi za maamuzi kwa team nyingi eidha kwenda Caf champions league au Caf confederation, na wengine eidha kusalia kwenye league au kucheza play off au kushuka daraja. Je JKT ataweza ku-maintain asicheze play off? Je Mashujaa naye atamaintain? Je Kagera...
 15. H

  SoC04 Michezo ni chanzo cha ajira Tanzania ikiwekezwa vizuri

  Tz yetu hii imejikita kwenye michezo michache sana na hiyo michezo serikali ndio hitoa sapoti Kwa kiasi chake ila mm Kwa miaka kumi ijayo ni wkati wa serikali pamoja na wadau wote nchini kuunga mkono michezo yote halali inayoweza kuongeza Pato la taifa na kuongeza ajira Kwa vijana. Michezo yote...
 16. B

  Manchester United mabingwa Kombe la FA 2024 baada ya kuifunga Man City 2-1

  Ni baada ya leo kuichapa ManCity 2-1 uwanja wa Wembley huku golikipa Onana akiwa man of the match. --- Manchester United imefanikiwa kubeba Ubingwa wa FA Cup 2024 kwa kuifunga Manchester City katika Fainali kwa magoli 2-1 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London Magoli ya Alejandro Garnacho na...
 17. Kaka yake shetani

  Swala la michezo Wana JF naomba mtoe maoni hapa

  Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's . Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19. Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
 18. F

  SoC04 Kichwa: Uvumbuzi wa Michezo ya Kubashiri kwa vijana na Maendeleo ya Tanzania katika miaka 25 ijayo

  Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali. Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
 19. BARD AI

  Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo yaomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 258 kwa mwaka 2024/25

  Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili...
 20. lugoda12

  Hongera sana kwa huyu mwamba

  Kongole sana kwa huyu mwamba kuwa bingwa kwa mara nyingine “BACK TO BACK wa EPL! 🏆👏🏾
Back
Top Bottom