mwezi wa ramadhani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
  2. Trainee

    Itambue miezi mitukufu kwa mujibu wa uislamu. Mwezi wa Ramadhani si katika miezi mitukufu

    Assalaamu àlaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuh Kuna watu wakiona heading kama hiyo tayari astaghfirullaah zinakuwa nyingi wakidhani labda nimepotosha. Twende pamoja kwa ufupi sana utanielewa Kalenda wanayotumia waislamu (si kwamba mimi siyo mwislamu bali mimi na wenzangu baadhi tunaitumia...
  3. K

    Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  4. L

    Huu ni mwaka wangu wa 16 kufunga mwezi wa Ramadhani China

    Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, serikali nyingi zisizo za Magharibi zilianza kuamka na kujua kwamba demokrasia na haki za binadamu za dhana zilizotetewa na nchi za Magharibi zinalenga kuzipendelea nchi hizo tu na kupuuza maslahi ya mataifa mengine mengi ya Kusini, na kwamba dhana hizi...
  5. L

    Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  6. Uponyaji na uzima

    Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  7. JumaKilumbi

    Mwezi wa Ramadhani: Mambo 6 yanayobatilisha swaum yako

    (Ramadan Kareem 🌙) Na, JumaKilumbi. 1. KULA AU KUNYWA WAKATI WA FUNGA Kitu chochote iwe kinywaji au chakula kikipita ktk koo la mfungaji huhesabiwa amefungua swaum. Hii haihusishi vile vinavyoishia kwenye ulimi bila kupita na kuteremka kooni. 2. KUFANYA MAPENZI WAKATI WA FUNGA, NA KUSISIMKA...
  8. L

    Waislamu mjini Beijing waanza kukaribisha mwezi wa Ramadhani kwa kuandaa vyakula mbalimbali halali vya Beijing

    Na Pili Mwinyi Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na ibada ikiwemo kujizuia mambo yote yaliyokatazwa yakiwa ni pamoja na kula na kunywa wakati wa...
  9. Hance Mtanashati

    Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  10. dyuteromaikota

    Ndugu zangu waislam dini yenu inasemaje kuhusu wageni mwezi wa Ramadhani?

    Niwatakie mfungo mwema. Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza! Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
  11. J

    Je, wasio waislamu wanaweza kufunga mwezi wa Ramadhani?

    Kwa uchache sana. Naomba kuelimishwa kama mtu asiye muislamu anaruhusiwa kufunga Ramadani. Kama ndio, naomba mwongozo wa taratibu za mfungo. Mungu wa mbinguni awabariki!
  12. Sky Eclat

    Nimelima ekari tano za mihogo, itakuwa tayari kwa mavuno mwezi wa Ramadhani

    Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano...
  13. Kichwa Kichafu

    Maisha baada ya mfungo wa mwezi Ramadhan

    Habari. Ramadhan Kareem! Amani iwe nanyi nyote. Ni imani watu walikuwa na mfungo wa Ramadhan wa kheri kabisa toka mwanzo hadi siku ya kesho tunategemea watamaliza na kheri pia. Kipindi chote cha mfungo watu walikuwa wenye kujizuia na maovu kwa kadiri ya uwezo wa Mungu alivyomjalia mtu...
Back
Top Bottom