• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

bendera

 1. pingli-nywee

  Shujaa wazidi kupeperusha bendera ya Kenya: 'Pools' za Los Angeles 7s zatangazwa

  Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerejea kama zilivokuwa hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabiki kote duniani. Timu mbili zitakazo ongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora. Shujaa, timu ya Kenya Raga7s ilitua Kenya...
 2. J

  Kama Mwigulu na Lugola waliokuwa wanaivaa bendera ya Taifa uzalendo umewashinda hadi kutumbuliwa sishangai ya Kigwangalla na Kabudi kutaka kujiuzulu

  Natafakari tu zile mbwembwe za Mh Mwigulu na mwenzie Kangi Lugola kuivaa bendera ya taifa kama kielelezo cha uzalendo uliotukuka. Kwa bahati nzuri wawili hawa walipitishwa katika kipimo kimoja kuthibitisha uzalendo wao na wote wamefeli na hawaivai tena ile bendera ya taifa wamebakia kuikodolea...
 3. Papaa Mobimba

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu. Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba.. Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
 4. Ulimbo

  Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

  Ndugu wana JF, Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu. Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu. Nawakilisha.
 5. Hero

  Hivi hizi zote ni bendera za Tanzania au macho yangu ndio hayaoni vizuri?

  Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania. Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
 6. Jon Stephano

  Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

  Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
 7. kimsboy

  Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

  Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu. Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka. Taarifa zaidi; Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha...
 8. maganjwa

  Je kuna nchi iliyoweka bendera yake juu ya milima tofauti na tanzania?

  Wana jamvi naamini hamjambo wote Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha...
 9. Mystery

  Ni kwanini DED wa Ubungo, Beatrice Dominic hafukuzwi kazi kwa kitendo chake cha kungo'a bendera za Chadema?

  Tunajua kuwa nchi hii inaendeshwa kwa kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977 na katika Katiba hiyo ya nchi, ibara ya 3(1) inasema hivi nikinukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu...
 10. B

  CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

  Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
 11. J

  Chadema ni Taasisi halali kwa mujibu wa sheria za nchi wana haki ya kupeperusha bendera yao bila kubughuziwa

  Kuna makada wengine wa CCM siyo kwamba wanakurupuka bali hawafikirii sawasawa wakati wa kufanya maamuzi. Mbona bendera za Yanga na Simba zimezagaa kila kona katika manispaa ya ubungo na hatujasikia katazo lolote. Binafsi nitamuona DED wa ubungo kidume kama atazishusha bendera za Yanga.......za...
 12. B

  CHADEMA wapewa saa mbili kuondoa bendera za chama hicho barabarani

  Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
 13. idawa

  Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa. Chanzo: Mwananchi
 14. S

  Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

  Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
 15. Mlenge

  Bendera ya Taifa

  Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka: Bendera ya Tanzania, Ndio ya kujivunia, Ilianza kupepea, Mwaka sitini na...
Top