kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  2. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuacha punyeto

    Kama wewe ni mraibu wa nyeto na unataka kujitoa kwenye janga hilo kuna namna ya kujitoa sio rahisi wala sio ngumu kikubwa ni kuishinda nafsi yako. Kama wewe ulianza mchezo huo kwa sababu ya kuangalia video za ngono au kila ukiangalia hatma yake ni nyeto cha...
  4. Uhovyoni

    JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dawa kuacha pombe kuwasili: Maduka kiujengwa pembezoni mwa Baa Kubwa!

    Fursa ya wastaafu wenye mafao wasiojua la kufanya kufungua maduka ya kuuza dawa ya kuacha pombe pembezoni mwa Baa kubwa. Pia kwenye vituo vya daladala kama Bifara ambapo wanauza pombe zote na bange, morroco na sehemu nyingine hizi awa ziwepo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  7. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari: Mtoto alazimishwa kuandika barua ya kuacha shule, mzazi atolewa nje

    Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako. Claude imetangaza maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika au kuboresha

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
  9. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi pasipokutoa notice

    Habari Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri. Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi Ahmed Haggag: Bara la Afrika linahitaji kuacha utegemezi wa nje na kujiamini

    CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe. Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
  11. Vien

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha red meat kwa miezi 6, nimejikuta nimekuwa mtu mwenye utu na huruma zaidi

    Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia. Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
  12. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

    Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Addiction ipi ina arosto kali ukiikosa hata kwa siku moja kiu yake ni ngumu kuikabili?

    Kucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k. Pombe Sex Punyeto Sigara Bangi Ugoro Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilimsibu Idugunde na kuacha kuishabikia CCM kama enzi zile?

    Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Baada ya kumaliza chuo tu. 01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar. Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili...
  16. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya waraibu wa kamari, mikeka na kubeti wanaohitaji kuacha na kuepukana na uraibu huu

    Habari ndugu! Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu. Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza watanzania na binaadamu kwa ujumla hapa duniani. Ushawishi wa kuingiza watu katika huu uraibu ni...
  18. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Nchi iliyotenda maovu mengi inapotubu kwa Mungu na kuacha maovu yake, Mungu anaghairi kuipiga fimbo na kuisamehe

    "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao." (2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana). MJI WA NINAWI Ninawi, mji wenye watu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
Back
Top Bottom