mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK_

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kusex tena baada ya muda mrefu kujizuia

    jambo wadau wote wa Jf -Awali ya yote niwape pole na mapambano ya kimaisha na kiujumla nawapa pole kwa maumivu ambayo tunaletewa na serikali hii ya kishenzi ya samua suluhu. note:sio mwandishi mzuri Nirudi kwenye maada ni kwamba mimi ni kijana wa makamo around 26s hivi,nimepitia vipindi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Garage bubu zimekuwa kero Ilala, mamlaka zinatakiwa kushughulikia hili

    Nimezaliwa mwaka 1997, na Ilala ilikuwa sehemu nzuri sana kwa watoto kuishi na kukua kwa sababu ilikuwa karibu na maeneo mengi ya kucheza, huku miundombinu ikiwa tayari imefika maeneo hayo. Hata hivyo, baada ya zile kota za pale Karume kuvunjwa na kujengwa Uwanja wa Karume wa mpira, pamoja na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa humu kwa muda mrefu!

    Tutakuwa humu kwa muda mrefu! Kuna wale wadhaniao kuwa hali tuliyonayo Watanzania ya kunyimwa uhuru wa kisiasa, kutishwa na kutishiwa, kutokuwa na uamuzi wowote juu ya serikali yetu, watu wachache kufaidi kupindukia, mtu kutokuwa na uhakika wa usalama wake.....yote haya yalianza vuuu tu, au...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je Kumsimamisha Mtuhumiwa Kwa Muda Mrefu wakati Waendesha Mashtaka wanabadilishana na kukaa

    There is no fixed legal time limit for how long an accused person must continuously stand in the dock during a court session, but standard practice dictates that a defendant should not be forced to stand for unreasonably long periods that cause physical distress or compromise a fair hearing...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya kuunganishiwa Umeme REA Igonyamu, Mbeya DC

    Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC. Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hatuumii kiongozi kustaff bali ni zile stahiki atakazoendelea kupokea ili hali hajalitumikia Taifa kwa muda mrefu katiba ibadilishwe kwakweli

    Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI Taifa linaanza kuwapa stahiki ili hali hawajalitumikia Taifa ipasavyo. Tunaomba katiba ibadilishwe katika kipengere hicho...
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  8. Soul21

    JamiiForums Tanzania Matusi kwa Wasomi ni Ushindi au Chuki zilizozikwa kwa muda mrefu?

    Kuna kauli moja inasema hivi, Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji. Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

    Navaa jezi ya Diadora yenye jina tena la Jay Ruty. Je, Diadora tunamtangaza kwa bei gani na Jay Ruty kwa bei gani kupitia Simba sc?
  10. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Bawasiri ya muda mrefu kutibika kikamilifu

    Pandex Herbal Clinic Ilala dar es salaam 0743 549 126 1. BAWASIRI FLUIDS 🟢Hii ni dawa yenye mfumo wa Kimiminika inayotumika kwa kupaka sehemu ya haja kubwa na kupelekea kufyonza na kuondoa kabisa seli zilizocharuka na kufanya uvimbe kuwa nje ama tayari Bawasiri ( Hemorrhoids or piles) inatoa...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuishi na dada wa kazi ( house girl) muda mrefu?

    Tupeane uzoefu kwenye hili
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

    Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wameanza kushituka mbinu ya Putin kuwa muda mrefu vitani, Bulgaria yasitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine

    Waziri Mkuu wa Bulgaria, Rumen Radev, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa Kilele wa NATO huko Ankara, Uturuki, mnamo Julai 8, 2026. Alieleza kuwa Bulgaria haiwezi tena kuipatia Ukraine silaha na zana za kijeshi. Haya ni kwa mujibu wa Waziri Mkuu Rumen Radev, ambaye...
  14. jooohs

    JamiiForums Tanzania Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopewa Matokeo ya Chuo kwa muda stahiki hata baada ya kufanya ufuatiliaji wa muda mrefu

    Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata. Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda cheo au mshahara sababu ya kukosa hayo matokeo ya bachelor. Huwa nawaza kama hawa viongozi au...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

    Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuangalia kwa muda mrefu porn kunaweza kusababisha watu kuendelea kutafuta maudhui makali zaidi na mwisho kujaribu vitendo vya ushoga

    hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
  18. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Kupona Bawasiri ya muda mrefu tumia bawasiri fluid na bawasiri powder

    NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER ⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids). FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi wa mambo yasiyo wahusu Eti kati ya faly Ipupa na Simba wa tandale (Diamond platinum Madako masebu) Nani ana mkwanja mrefu?

    Nawauliza ninyi mnaojua mambo mengi ...Ni nani kati ya Faly Ipupa na Diamond platinum Madako masebu ana pesa mingi kuzidi mwenzie?
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wasomali wamewezaje kuipiga system na kuiba mabilioni na mabilioni ya pesa kwa muda mrefu hapo Minnesota, Marekani?

Back
Top Bottom