Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii.
Moja ya hivyo ni Tongoni.
Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika.
Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji.
Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
MALALAMIKO NA OMBI LA UCHUNGUZI
YAH: OMBI LA UCHUNGUZI KUHUSU UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA IDARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI – WILAYA YA URAMBO
Kwa heshima,
Nawasilisha taarifa hii kwa mamlaka husika nikiomba kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kuhusu mwenendo wa kiutawala, matumizi ya...
Anonymous
Thread
idara
idara ya kilimo
kilimo
mifugo
shughuli
uendeshaji
urambo
uvuvi
wilaya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
shughuli
taratibu
uchimbaji
uchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
Wahadhiri na Wafanyakazi wengine wa Vyuo Vikuu vya Umma kote nchini wameanza mgomo wa kitaifa leo, Ijumaa, Oktoba 2, 2026, baada ya mazungumzo kuhusu Mkataba wa Pamoja wa Ajira wa 2025–2029 (CBA) kukwama.
Mgomo huo hauwahusu Wahadhiri pekee. Unahusisha vyama vitatu:
Universities Academic Staff...
Nimetengeneza System inayorahisisha kazi zako za kanisa inapatikana hapa BUre Laravel
Kwasasa tupo na v1.0.0 Preview kwa mahitaji ya self hosting tuwasiliane lakini kwa matumizi ya kawaida unaweza jiunga hapo...
Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA?
Je inatambuliwa na mamlaka ya Masoko na Mitaji?
Je inalipa kodi kwa shughuli inayojihusisha nayo ya kupokea pesa kutoka kwa...
Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Amesema hayo...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
fomu
fomu za maadili
haja
ili
kujaza fomu
kuzuia
maadili
mabaya
madaraka
michango
ofisi
sheria
shughuli
siasa
viongozi
vyama
vyama vya siasa
wakuu
wote
Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia!
Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi
Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima...
My Take
Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini.
Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC.
Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa).
Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika kwa shughuli binafsi nyingi ikiwemo za masuala ya shamba.
Gari hilo lenye namba za usajili SU 42509...
Anonymous
Thread
binafsi
bodi
bodi ya korosho
hii
korosho
mbona
mwenyekiti
shughuli
Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango.
Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script.
Badala...
Siku imeisha!
Tayari imeingia siku ya jumatano.
Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu.
Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji...
Hamjambo!
Bado najiuliza nini kinaendelea.
Wanaopanga na kuchochea maandamano kisaikolojia hawatishwi na mtu yeyote Yule isipokuwa vyombo vya Dola.
Fikiria watu wanaomtukana Rais, amiri jeshi Mkuu, wanaotukana viongozi wa serikali,
Hivi hao watu watatishwa na Sheikhe Mwaipopo kweli?
Sheikhe...
Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯.
Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake.
Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.