luoga

Florens Luoga is a Tanzanian lawyer and academic.He is the deputy vice chancellor of the University of Dar es Salaam and the chair of the Tanzania Revenue Authority. He has been appointed to be the next governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Rais Samia majukumu uliyompa Prof. Kabudi ni sahihi ila kwenye timu ya mikataba mwongeze Prof. Luoga na Mwambe

    Nakupongeza Mh. Rais kwa kulipa umuhimu swala la mikataba. Mikataba kwa nchi hii iliturudisha nyuma hivyo ni muda sahihi kuirejea hata kama tulishakosea hapo mwanzo. Waswahili husema kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa, ni sahihi kabisa kujirekebisha kwa maslahi mapana ya nchi hii. Mh. Rais...
  2. K

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Florens Luoga abadilishwe haraka

    Nasikitika sana kwa kushidwa kazi aliyopewa gavana wetu wa bank kuu Florens Luoga. Huyu gavana ni chaguo baya sana ambalo limewahi kutokea. Tujue tu kwamba huyu professor ni mwanasheria na sio mwana uchumi au mhasibu. Nashauri apewe Prof Mussa Assad kwa muda wa mpito. Sababu moja ni kwamba bank...
  3. Petro E. Mselewa

    Utetezi wa Sabaya: Ametanua uwanja, ana mengi ya kuyathibitisha. Porojo hazitatosha kumnasua!

    Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa. Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu Utetezi wake, kadiri...
Back
Top Bottom