swala


 1. N

  Wakati wa Witri:

  Ni baada ya Swala ya Isha mpaka kutokea wakati wa Alfajiri. Na kuiswali kipindi cha theluthi ya mwisho ya usiku ni bora zaidi, kwa Hadithi ya Jaabir (RA) kuwa Mtume ﷺ alisema: (Atakaechele kutoamka mwisho wa usiku basi aswali witr mwanzo wake) [ Imepokewa na Muslim.], wala hatoswali tena witr...
 2. N

  Aina za Swala ya sunnah

  Swala ya sunna ni aina nyingi: Muhimu zaidi ya hizo ni zifuatazo: Kwanza: Sunna za ratiba Nazo ni sunna zenye kufuata Swala za faradhi Na jumla ya sunna za ratiba ni rakaa kumi au rakaa kumi na mbili, nazo ni: - Rakaa mbili kabla ya Alfajiri. - Rakaa mbili kabla ya Adhuhuri au nne na rakaa...
 3. N

  Swala ya hofuhofu yenye kupasisha Swala hii ina mojawapo ya hali mbili:

  Hali ya Kwanza: Hali ya kuogopa kushambuliwa na adui: Inaswaliwa kwa namna mojawapo ya namna zilizokuja kutoka kwa Mtume ﷺ. Na namna iliyotangaa zaidi ni ile iliyokuja kwenye hadithi iliyopokewa na Sahl bin Abi Hathmah t. Nayo ni kuwa imamu awagawanye makundi mawili. Kundi moja lisimame upande...
 4. N

  Kumtayarisha Maiti

  Inapendekezwa kuhudhuria pale penye mtu ambaye alama za kifo zimedhihiri kwake, na kumkumbusha kusema «Laa ilaaha illa-llah» kwa kauli yake Mtume ﷺ (Walakinini maiti zenu “Laa ilaaha illa- llaah”) [Imepokewa na Muslim.]. Akifa atafumbwa macho yake na afinikwe nguo na kufanywe haraka...
 5. N

  Kutoka mapema kwa ajili ya Swalah

  Nako ni kutoka mapema ili kupata fadhila za kungojea Swala. Abu Huraira ﷺ amepokewa akisema kwamba Mtume wa Mwenyezi mungu ﷺ amsema: (Mmoja wenu huzingatiwa anaendelea kuwa kwenye Swala kwa mda ambao anasubiri swala) [ Imepokewa na Bukhari.].
 6. N

  Kufunga Masiku meupe ya kila mwezi

  Nayo ni tarehe kumi na tatu, na kumi na nne, na kumi na tano ya kila mwezi katika miezi ya kiislamu, na yameitwa meupe; kwasababu usiku wa masiku haya hunga’ra kwa mwangaza wa mwezi. Kama ilivyothibiti kutoka kwa AbdulMalik ibn Minhal kutoka kwa babake: Kwamba (babake) alikuwa pamoja na Mtume ﷺ...
 7. N

  Mambo yanayo Haribu Swala

  1. Kufanya jambo linalo pingana na sharti miongoni mwa sharti za swala kama kufanya jambo lenye kutenguwa twahara, au kukusudia kufunguwa uchi, au Kuzunguka upande wakibla, kwa mwili wake, au kuvunja nia 2. kukusudia kuacha nguzo au wajibu wa swala. 3. kujishughulisha na vitendo vingi kwa...
 8. N

  Namna ya kuswali Swala ya Kuomba Mvua

  1. Swala ya Kuomba Mvua ni rakaa mbili, bila ya kuadhini wala kukimu, na kisomo katika rakaa mbili hizo huwa ni kwa sauti. 2. Mwenye kuswali katika rakaa ya kwanza atapiga takbiri saba baada ya ile takbiri ya kufungia Swala. Na katika rakaa ya pili atapiga takbiri tano, mbali ya ile takbiri ya...
 9. N

  Ubora wa siku ya Ijumaa

  Siku ya Ijumaa ni bora ya siku za wiki ambayo Mwenyezi Mungu Amewahusu nayo Waislamu baada ya umma wengine kuwapotea. Na zimekuja hadithi nyingi kuhusu ubora wake, miongoni mwazo: 1. Neno lake Mtume ﷺ: ( Siku bora iliyotokewa na jua ni siku ya Ijumaa. Katika siku hiyo aliumbwa Adam, na katika...