chama cha siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate na kadi ya chama chao huku wakinishawishi kuwa siyo gharama kubwa kulipia kadi hiyo kwa mwaka. Jambo...
  2. JamiiCheck

    AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

    Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo. Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani. Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia...
  3. comte

    CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

    Hii ni Mbeya + viongozi wote wa kitaifa + waandishi wa habari+kwa yeyote anayejisikia
  4. The Sheriff

    Ni sababu zipi zilikufanya kukipenda chama cha siasa unachokiunga mkono?

    Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi zinazotuongoza kuchagua na kukipenda chama fulani cha siasa? Moja ya sababu kuu inaweza kuwa ni sera na...
  5. P

    Kwanini unashabikia chama hicho cha siasa?

    Wakuu, Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari kufanya chochote kwaajili ya chama chake hata kama kinaathiri watu wengine vibaya. Ni kama wameziba...
  6. P

    Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
  7. Mganguzi

    Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  8. JamiiCheck

    Kadi ya chama cha siasa haiwezi kutumika nje ya mipaka ya chama hicho

    Kadi ya chama cha siasa, ni nyaraka anayopewa mtu aliyejiunga na chama fulani cha siasa kuthibisha kuwa yeye ni mwanachama halali au hai wa chama hicho. Wapo watu wengi wamekuwa hawatambui kazi ya kadi ya vyama vya kiasa na hudhani au huaminishwa na aidha wanaowashawishi kujiunga na vyama au...
  9. LAZIMA NISEME

    MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  10. M

    Njia rahisi ya kutoka ni kuanzisha Kanisa au Chama cha siasa

    Wakuu, Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo. Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa...
  11. Mto Songwe

    Chama cha siasa kisichotofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilichokufa

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa". Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya...
  12. TheForgotten Genious

    SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  13. The Boss

    Badala ya kuwa Chama cha siasa wamegeuzwa "pressure group"..na wanafurahia...

    Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee". Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa...
  14. Suzy Elias

    Hivi kuna CHADEMA kama chama cha siasa au ni chawa wa chama kilichopo madarakani?

    Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄. Binafsi, napatwa na...
  15. R

    Kuna haja ya Tundu Lissu kuanzisha chama cha siasa kwa masilahi mapana ya Taifa

    Habari JF, Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani? Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu...
  16. MR.NOMA

    Je ,Umewahi kufuatwa na kuombwa ugombee uongozi wa Kikundi au katika chama Cha Siasa. Tueleze ilikuwaje? Ulikubali/ ulikataa?

    Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini...
  17. Lycaon pictus

    Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

    Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
  18. Lycaon pictus

    Kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni kupotosha

    Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye mawazo(Sera) zinazofanana juu ya kuendesha nchi. Mwanachama wa chama cha siasa lengo lake kuu ni kuona sera...
  19. Heavy User

    Nasema kwa hasira, kila chama cha siasa kina maslahi yake binafsi. Nchi imejawa na uchama na usiasa

    Roho inaniuma sana ninapoona TZ ina wasomi wengi wenye maneno mengi wanaojua kila kitu lakini nchi yetu bado masikini inategemea kuombaomba. Rais kazungukwa na wasomi na washauri wazuri lakini shida zilizotakiwa kutatuliwa miaka mingi iliyopita bado zipo na hazionekani kuisha leo wala kesho...
Back
Top Bottom