mpango

 1. Ngaliwe

  Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
 2. K

  Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

  Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga. Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje? Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo? Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda...
 3. TheDreamer Thebeliever

  Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

  Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025. Mama kweli amekusudia...
 4. TheDreamer Thebeliever

  Je, mpango wa namba mpya za simu zitakazosajiliwa Julai Mosi kuwa na namba ya siri upoje?

  Habari wadau! Kuna SMS tunapokea kwenye simu zetu toka TCRA zinasema kwamba kuanzia sikutajwa hapo juu namba zitakazosajiliwa zitakuwa na namba ya siri ambayo ukizima simu ili kuwasha utahitaji kuingiza namba ya siri. Hili lipoje? Je, ndio litasaidia simu zetu zisiibiwe? Au ndio litakuwa...
 5. F

  Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

  Habari zenu Wana wa JF siasa. Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii. Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk...
 6. Ngungenge

  Ya Mpango ni Ishara Mungu anakuonesha Mh. Rais

  Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa...
 7. J

  Makamu wa Rais, Dr. Mpango awataka TRA wasiwababaishe Wafanyabiashara, atoa salamu za Rais Samia kwa Kanisa!

  Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga. Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara. Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
 8. N

  Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/2022 kufumuliwa na Awamu ya Sita

  Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
 9. N

  Je, Mpango Kazi na Bajeti ya 2021/2022 itafumuliwa tokana na ujio wa awamu ya sita?

  Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
 10. Environmental Security

  Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

  Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
 11. J

  Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

  Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine? Kila zama na kitabu chake! Maendeleo hayana vyama.
 12. Erythrocyte

  Kwanini Makamu wa Rais Dr Phillipo Mpango asitoe vithibitisho vya uraia wake hadharani ili kukata mzizi wa Fitna ?

  Huyu si Mwanasiasa wa kwanza kutuhumiwa kwamba si raia wa Tanzania , wako wengine kadhaa walishatuhumiwa akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Generali Ulimwengu , wamo akina Eyakuze wa Twaweza pamoja na Maaskofu kadhaa wa Makanisa . Walichokifanya ni kutoa nyaraka zao kuthibitisha...
 13. Idugunde

  Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

  Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
 14. jitombashisho

  Dkt. Philip Mpango leo kaongea kama mkuu wa Nchi

  Nimejiuliza sana, Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi. 'Nataka kufika...
 15. J

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna mivutano kati ya Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu hasa naibu akihoji matumizi ya fedha!

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi. Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha. Dkt. Mpango...
 16. J

  " Nimemteua Dr Mpango kwa sababu ni mtaalamu wa Uchumi atanisaidia kwenye mambo ya Uchumi na Fedha" kauli hii ina maana pana!

  Rais Samia Suluhu Hassan amesema amemteua Dr Mpango kama makamu wa Rais kwa sababu ni mtaalamu wa uchumi na kwamba atamsaidia katika maswala ya uchumi na fedha. Rais Samia amesema inaeleweka kuwa ofisi ya makamu wa Rais inashughulika na mambo ya Muungano, Umaskini na Mazingira lakini Dr Mpango...
 17. Analogia Malenga

  LIVE Hafla ya kuapishwa kwa Dkt. Philip Mpango kama Makamu wa Rais

  Mitambo imeshakaa sawa tukio litafanyika muda si mrefu, follow
 18. Elisha Sarikiel

  Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

  Mubashara: Mhe.Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino Mkoanii Dodoma na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, mhe. Samia Suluhu Hassan...
 19. J

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania. Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
 20. Shadow7

  Marekani: Kikongwe wa miaka 91 adai hana mpango wa kustaafu jeshi la polisi

  Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo na hataki hata kusikia hilo neno kustaafu. Afisa mmoja wa polisi, Arkansas nchini Marekani...
Top Bottom