dira

Deficiency of the interleukin-1–receptor antagonist (DIRA) is an autosomal recessive, genetic autoinflammatory syndrome resulting from mutations in IL1RN, the gene encoding the interleukin 1 receptor antagonist. The mutations result in an abnormal protein that is not secreted, exposing the cells to unopposed interleukin 1 activity. This results in sterile multifocal osteomyelitis, periostitis (inflammation of the membrane surrounding the bones), and pustulosis due to skin inflammation from birth.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Bila Chadema ni maigizo tu na bila katiba hakuna Dira!

    Bila Chadema chama kikuu kwa mbali sana Tanzania hakuna maridhiano yeyote ya ukweli ni maigizo tu ya kujidanganya na kulaghai watanzania. Bila katiba hakuna Dira! yeyote inaweza kufanikiwa kwa katiba ya sasa ambayo haina uwajibikaji wowote pale ambapo sheria haifuatwi na watawala. Katiba...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya misingi ya dira 2050 ni demokrasia, haki na uhuru. Kwa namna hii tutafika?

    Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT. Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni mjinga tu anayefikiri kuna Dira nzuri ya 2050 kwa mfumo huu wa siasa (Katiba hii)

    Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) yanadi DIRA 2050 katika Mkutano wa Viwanda wa SADC Durban

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza maendeleo ya nchi wanachama...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TIB Yanadi dira 2050 mkutano wa viwanda wa SADC Durban

    Na Benny Mwaipaja, Durban Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza...
  7. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo ya Taifa ya 2050 haiwezekani kutekelezeka kwa miaka 5? Sababu 3 kwanini

    Moja kwa moja. Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6. Aliwahi kuwarudisha maengineer wake walipomletea mradi utakaokamilika kwa miaka mingi akawaambia rudini mniletee plan mpya...
  8. papag

    JamiiForums Tanzania Dira 2050 hiyoo

    hapo vipi?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa tupeni dira madogo zenu

    Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu tunaomba mtupe mawaidha madogo zenu nini tufanye na nini tuache ili tufikie na sisi level zenu, maana...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dira 2050: Ushirikiano na Urusi

    Dira ya Maendeleo 2050 inahitaji rasilimali, teknolojia na ushirikiano wa kimataifa wa hali ya juu. Urusi ina uwezo wa kutoa mchango mkubwa katika kufanikisha Dira hii. Ziara ya Rais Samia inalenga kuhakikisha ushirikiano huu unabeba matokeo ya kweli yanayofika kwa Watanzania wote...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wateja wakumbushwa usomaji dira za maji shirikishi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma. Zoezi la usomaji mita...
  12. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha? Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  14. bahati93

    JamiiForums Tanzania Taharuki dira yageuka dera

    Ndani ya jahazi la kusadikika, Lenye uelekeo usiojulikana Wadada kwa wakaka, wamebaki na bumbuwazi. Nahodha wa chombo hayupo wazi Ile dira iliyokuwa mezani Imeponyoka katoa matanga Kashona dera Abiria kwa mabaharia, Wamebaki wanalia Hichi ndicho kisa cha dira kugeuka dera, kama hujaelewa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dira mbovu ya 2050 ndani ya katiba ya chama kimoja 1977

    Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Mkumbo: Dira 2050 ina matarajio ya kupunguza udhibiti wa biashara

    "Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

    Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika. KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Mwamba kweli kweli kusimamia utekelezaji wa Dira 2050

    Bila shaka mwamba amepatikana Yaani Mwigulu Nchemba. Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo. Ni vyema kumpata Mwamba huyu wa Kanda ya Kati, aliyesoma kaskazini na mjini pia Hongera Mwigulu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya sera kati ya Tanzania na China kuinufaisha Tanzania katika utekelezaji wake wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
Back
Top Bottom