HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU
".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu?
Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa.
Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M
ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
Mkutano na Waandishi wa Habari
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini.
📆 02 Septemba, 2026.
🕰️ 05:00 Asubuhi.
📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora.
Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
Ni vizuri tukakumbuka kwamba aliyeasisi unyama huu (udikteta uliopitiliza) wa kiwango cha akina Benito Mussolin, Joseph Stalin, Augusto Pinochet ni Magufuli akilindwa na Katiba ya 1977 iliyoandikwa na CCM chini ya maelekezo ya Nyerere.
Naonya: ikiwa hayatafanyika marekebisho ya dharura ya...
Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa,
Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania
Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu.
Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman
Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi
Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
Wanasheria naomba elimu kidogo
Lissu amewataja ndugu Samia, Philip Mpango, Cassim Majaliwa na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe mashahidi wa kesi yake ya uhaini
Najiuliza hawa watu wataheshimu mahakama na kufika kutoa ushahidi?
Bila shaka watakaidi na mahakama yetu haina cha kuwafanya
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama...
Yaani kitendo cha makamu Rais kumtembelea mstaafu ambaye kila manung'uniko mabaya yako kwake kimezidi kushangaza pale wawili hao kuonekana ,pamoja na maneno kuwa makamu kaandika barua ya kujiuzulu mara kagoma yaani hakuna kinachojulikana kulikoni..
Kitendo cha makamu kwenda kumtembelea...
LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea.
Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake.
Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo.
Ni ujumbe aliotafakari na...
Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika.
Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
Viongozi wetu wamekuwa mara kwa mara wanafanya majaribio ya kitaaluma na wakati wote majaribio hayo yameacha simanzi kwa baadhi ya wanafunzi ambao ndio wahanga wakati wote
Humu katikati kuliibuka waziri aliyeunganisha somo la Physics na Chemistry likawa somo moja (Chemistry with Physics)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.