thread

  1. Mashamba Makubwa Nalima

    AFC Bournemouth (The Cherries) The Special Thread

    Full name: AFC Bournemouth Nickname(s) The Cherries Boscombe Founded: 1899; 126 years ago (1899) (as Boscombe) Ground: Dean Court Owner: Black Knight Football Club UK Limited Chairman: Bill Foley Manager: Andoni Iraola League: Premier League Website: afcb
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    FCSB(FC Steaua București) Special Thread

    Nickname(s): Roș-albaștrii (The Red and Blues) Founded: 7 June 1947 President: Valeriu Argăseală Head Coach: Elias Charalambous League : League 1 Website: fcsb
  3. Daughterrr

    Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

    Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui. Mmoja alikua chapombe nkampotezea Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo! Mmoja alikua...
  4. Powell Gonzalez

    Ulishawahi kuanzisha thread kisha kuwa na zero replies?

    Ulishawahi kuandika uzi then ukawa na zero replies yaani hakuna mtu kajibu chochote? ulijisikiaje?😅😅😅😅
  5. Mshana Jr

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa . Kushindwa...
  6. Nomadix

    New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

    Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje ... Kwa miezi ya hivi karibuni (sept,oct,nov,dec 2024) nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio...
  7. secretarybird

    Je, Erick Kabendera hajaiba thread zetu humu JF kushibisha kitabu chake kimhusucho Magufuli?

    Yeah! Nadhani tunakumbuka jinsi bwana Yericko Nyerere alivyotuhumiwa kuiba nyuzi za wana JF kuandika vitabu vyake anavyoviita vya kijasusi hata akawapiga watu pesa Kwa kuwauzi vile vitabu. Sasa hivi kijana wetu Erick Kabendera amekuja na kitabu chake ambacho kwa kiasi fulani kimemgusia...
  8. Fortilo

    Low IQ Thread: Mada nyepesi hapa, we listen we dont judge

    Wakuu Heri ya Mwaka Mpya 2025. Hii ni thread ya mada nyepesi.. Andika kitu chochote unachofikiri lakini unaogopa kukianzishia uzi... Mada nyepesi tafadhali...
  9. Teslarati

    Maneno ya mkosaji special thread

    Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya. "Kwani IST nayo gari sasa" (hapo jamaa anasubiri foleni ya mwendokasi Kimara - Morocco "Huyo dem tumegonga sana...
  10. Dialogist

    SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

    Welcome On board... Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
  11. Nyafwili

    SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
  12. Mwakawasila

    USIPOELEWA NA HAPAA NAFUTA THREAD

    Ninaandaa mpango wangu WA BIASHARA Kisha naanza kuifanya baada ya kuona Sina kiwango Cha kutosha Natangaza watu wanao WEZA kudhamini BIASHARA yangu Kwa makubaliano ya kugawana faida Kwa hiyo kutokana na kwamba namimi nimeweka mtaji namimi nakuwa mmiliki wa kampuni Na nakuwa na Baadhi ya haki...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Dog Lovers Special Thread

    Huu ni Uzi maalum kwa wapenzi wa mbwa, wafugaji na wafanyabiashara wa mbwa, wauza madawa na tiba za mbwa, wauza vyakula vya mbwa, na wadau mbalimbali wa mbwa.
  14. MAKANGEMBUZI

    Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

    Wakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so unaweza kuona nina experience ya miaka 11. Mazoezi pia yanaambatana na aina ya vyakula tunavyokula...
  15. Ziroseventytwo

    Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati. Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
  16. Teslarati

    Sinza (Sin city) special thread: Burudani, Vimbwanga na Starehe unazoweza kuzipata

    Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa. Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi. Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki. Kama ni...
  17. Eli Cohen

    THREAD ya ku-expose aina tofauti za utapeli unaofanyika ili tusaidiane kutoingia kingi kirahisi.

    Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo: Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu. Wanaojifanya Afisa wa TRA: Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
  18. INJECTION TECHNICIAN

    Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

    WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi NIANZE NA MIMI Huu mwezi wa pili tangia nisimamishwe kazi nilipokuwa nafanya kazi NI mkoani geita geita gold kutokana na kashfa ya pombe nimerudi dar...
Back
Top Bottom